
Faida za kiafya za kula muwa (miwa)
- husaidia katika kuupa mwili nguvu kwa haraka sana
- Husaidia kwa wenye tatizo la kisukari hasa kwa wenye type-1 diabetes
- Hulinda mwili dhidi ya saratani
- Husaidia katika kulinda afya ya figo
- Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga
- Hulinda mfumo wa mmeng’enyo wa chakula uwe katika hali salama.
- Huboresha afya ya meno na kuzuia kuoza ama kubenduka kwa meno
- Huboresha afya ya kucha
- Miwa husaidia kuboresha afya ya ngozi.