Asili ya Madini ya shaba
Posti hii inahusu zaidi asili ya madini ya Shaba, ni sehemu ambapo madini ya Shaba yanaweza kupatikana ni katika mimea na wanyama
Asili ya madini ya Shaba.
1. Madini ya Shaba tunaweza kuyapata kwenye mbegu mbalimbali kama vie maharage, mahindi,soya beans, njegere,njugu Mawe,na mbegu mbalimbali ambazo uwepo kwenye jamii pote umo tunaweza kupata madini ya Shaba.
2.Madini ya Shaba yanaweza kukutwa kwenye viazi mbalimbali kama vie viazi vitamu, viazi, vikuu na viazi ulaya , kwa hiyo kila Aina ya viazi tunaweza kukuta madini ya Shaba kwa hiyo tule viazi kwa wingi Ili tuweze kupata madini ya Shaba kwa wingi
3.Madini ya Shaba yanaweza kukutwa kwenye mboga za majani na kwenye matunda mbalimbali kwa mfano mboga mbamoga zote za kijani kama vile mchicha, kabegi,kisambu,Chinese tunaweza kupata madini ya chuma na matunda kama Vila nabasi, machungwa, maembe na matunda mengine yote tunaweza kupata madini ya Shaba.
4.Vivile kama mtu ana upungufu wa madini ya Shaba mwilini anaweza kwenda hospitalini Kuna dawa anaweza kutumia na madini ya Shaba yakaongezeka mwilini na hali ikawa kawaida kwahiyo tunapaswa kuwashauri ndugu zetu wenye tatizo Ilo kwenda hospitali na kutumia vyakula kama dawa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 ai web app 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Vyakula vyenye maji kwa wingi
Somo Hili linakwenda kukuletea vyakula vyeny maji kwa wingi na umuhimu wake mwilini
Soma Zaidi...Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...Faida za kula apple (tufaha)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...Fida za kula uyoga
Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy
Soma Zaidi...