
Faida za kiafya za magimbi (taro root)
- magimbi yana virutubisho kama vitamini C, E na B6. pia madini ya potassium, phosphorus, shaba, magnessium na manganese. Pia magimbi yana protini na fati
- Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari hufanya isipande
- Hupunguza kasi ya mmeng’enyo wa chakula
- Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo na mishipa ya dmau
- Magimbi yana chembeche,mbe ambazo hulinda mwili dhidi ya saratani kwa kuuwa seli za saratani
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Huboresha afya ya utumbo
- Hulinda mwili dhidi ya mashambulizi