
Faida za kiafya za kula bamia
- Bamia lina virutubisho kama vitamini C, vitamini K, vitamini A na vitamini B. pia bamia lina protini, fati na madini ya magnesium.
- Bamia lina antioxidant ambazo hulinda mwili dhidi ya maradhi
- Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo
- Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya saratani
- Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia kwa wanawake wenye ujauzito na ukuaji wa mtoto