Posti hii inahusu zaidi dalili za mtu mwenye ugonjwa wa kupungukiwadamu, ni dalili zinazoonekana kwa mtu Mwenye tatizo la upungufu wa damu.
Dalili za mtu mwenye upungufu wa damu
1. Kizunguzungu hutokea kwa sababu ya kukosa damu mwilini na hivyo nguvu nyingi umwishia mtu na kuanzia kuhisi kizunguzungu.
2. Rangi ya ngozi kubadilika na kuwa ya njano,hii usababishwa na kutokuwepo na damu ya kutosha mwilini hivyo rangi ubadilika hasa rangi ya ngozi na macho.
3. Maumivu ya kichwa na viungo vyote kwa ujumla.mgonjwa wa upungufu wa damu mwilini huisi maumivu makali kwenye mifupa,kichwa na mwili kwa ujumla hii ni kwa sababu ya maambukizi kwenye mifupa na sehemu nyingine za mwili.
4 mkojo kuwa mweusi, hii ni dalili ya mtu mwenye upungufu wa damu mkojo wake huwa mweusi kwa sababu ya kukosa damu kwenye sehemu ya kuchujia mkojo na hivyo mkojo uchunjwa kwa hali isiyo ya kawaida na upelekea kuwa mweusi.
5. Kupumua kwa shida, kwa sababu kiwango Cha damu mwilini ni kidogo sana kwa hiyo moyo utumia nguvu sana kusukuma damu na mgonjwa uanza kupumua kusikilizwa kwa kawaida na hali yake ikiendelea inaweza kuwa mbaya zaidi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalilili za kukosa oksijeni ambalo kitaalamu hujulikana Kama apnea.kukosa oksijeni ni tatizo ambapo kupumua kwako hukoma na kuanza unapolala.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia mtoto akiwa na ugonjwa wa UTI.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili,sababu za Hatari,na namna ya kujizuia na fangasi wa kucha.
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi aina za ajali kwenye kifua,pamoja na kifua kuwa na sehemu mbalimbali na pia na ajali ambazo utokea Huwa za aina mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu,ni tatizo ambalo usababishwa na bakteria ambao uingia kwenye mapafu na kusababisha madhara na hatimaye mapafu kuwa na usaha .
Soma Zaidi...Muda ambao maambukizi ya virusi vya ukimwi kuonyesha dalili unaweza kutofautiana kutika mtu hadi mwingine.
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani, ni njia ya kawaida ya kujitibu vidonda vya tumbo kama tulivyoona.
Soma Zaidi...