Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za mvunjiko ni Aina za kuvunjika ambazo uwakumba watu mbalimbali na watu ushindwa kutambua hizi Aina tatu za mvunjiko, zifuatazo ni Aina za mvunjiko.
Aina tatu za mvunjiko.
1. Kuvunjika ambako uambatana na kidonda kilicho wazi, hii ni Aina ya kuvunjika ambako uambatana na kidonda ambacho linakuwa wazi pengine na mfupa uonekana kuwa umevunjika na kidonda juu yake, kwa hiyo ukipata mgonjwa kama huyu kitu Cha kwanza kabisa ni kusafisha kidonda na kukifunga vizuri kusudi kuepuka madhara ya kuingiliwa na bakteria, hasa Haina hii ya kuvunjika ikitokea Mtu akiwa mbali na hospitalin hatua ya kwanza kabisa ni lazima kuzuia kuvuja kwa damu kwa Maana vidonda kama hivi uambatana na kuvuja damu.
unaweza kutafuta kitambaa kizuri ambacho ni kisafi unamfunga mgonjwa Ili damu isiendelee kutoka, pia unahakikisha unamfunga sehemu iliyopata ajali au iliyovunjika Ili kama ni mguu usiende una nesanesa hii inaweza kusababisha madhara mengine au kuendelea kuwepo kwa maumivu.
2. Kuvunjika ambako hakuna kidonda kwenye sehemu iliyovunjika,
Hii ni Aina nyingine ya kuvunjika ambako hakuna kidonda kwenye sehemu ambapo mtu amavunjika, Aina hii ya kuvunjika uleta maumivu makali sana kwa mgonjwa hali ambayo umfanya mgonjwa kusikia maumivu makali, Aina hii ya kuvunjika usababisha kuvujia kwa ndani kwa hiyo mtu kama amevinjika namna hii unapaswa kugusagusa mguu III kuangalia hali yake na pia Aina hii ya kuvunjika inapaswa mtu afungwe vizuri Ili kuepuka kuendelea kuleta madhara mengine .
3. Aina nyingine ya kuvunjika ni Ile ya kuharibika kwa mishipa inayosafilisha damu yote yaani artery, veini na kapilali zote zinaharibika na pia Neveu zinaharibika na tisu zilizozunguka zinaharibika, mtu aliyecunjika namna hii anaweza hasisukie maumivu yoyote kwa sababu ya kuharibika kwa sehemu za nevu ambazo upelekea taarifa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine, kwa hiyo kwa upande wa wahudumu inabidi kufuata kila hatua Ili kuweza kumhudumia huyu Mgonjwa na kupunguza maumivu kwa Sababu akipona tu anasikia maumivu kama kawaida
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyuko
Soma Zaidi...Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo ,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi michubuko ambayo mara nyingi utokea kwa watoto wakati wa kuzaliwa,na mara nyingi uweza kupona baada ya masaa ishilini na manne au ndani ya masaa ishilini na manne.
Soma Zaidi...