Ratiba ya chanjo ya Pentavalenti
Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Ratiba ya chanjo ya Pentavalent.
1.Tunajua kabisa kwamba chanjo hii inaweza kutibu Magonjwa matano na chanjo hii imeunganishwa na ufanya kazi kwa pamoja. Pentavalent maana yake ni tano, kwa hiyo hii chanjo utolewa mara tatu yaani kwa vipindi maalumu kwa hiyo walezi na wazazi wa watoto wachanga wanapaswa kujua wazi mda ambao wanapaswa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo kama ifuatavyo.
2.Chanjo ya kwanza utolewa kwenye wiki ya sita baada ya mtoto kuzaliwa, kiasi kinachotolewa ni milia Sifuri nuka tano na sindano hii utolewa kwenye paja la kushoto kwa hiyo kila mtoto akifikisha wiki sita ambazo ni sawa na mwezi mmoja na wiki mbili anapaswa kuja kwenye kituo cha afya kupata chanjo.
3.Chanjo ya pili utolewa kwenye wiki ya Kumi ambayo ni sawa na miezi miwili na wiki mbili, kwa hiyo Walezi na wazazi wakumbushane mara kwa mara kuhusu kumrudisha mtoto ili apatiwe chanjo kwa hiyo kiwango anachopewa ni kama kile kwenye chanjo ya kwanza na sehemu ni ile ile ya kwenye paja la kushoto.
4.Chanjo Ya nne utolewa baada ya wiki kumi nne Bayo ni sawa na miezi mitatu na wiki mbili kwa hiyo mtoto upewa kiasi kile kile kama alichopewa kwenye chanjo ya kwanza na ya pili kwa hiyo wazazi na walezi wote wanapaswa kukumbuka kuweza kuwapeleka watoto ili waweze kumalizia chanjo.
5.Kw hiyo tunaona wazi umuhimu wa chanjo hiyo ya Pentavalent kwa sababu inatibu Magonjwa mengi sana kwa hiyo wale walio na imani kuhusu chanjo wanapaswa kuelewa umuhimu wa chanjo ili kuzuia kuwepo kwa magonjwa yanayozuiwa kwa chanjo kwa hiyo pia walezi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao kliniki ili wapate chanjo kwa hiyo wanapaswa kuachana na uzembe usiokuwa na maana na kusababisha Magonjwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 ai web app 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Namna ya kuchoma chanjo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.
Soma Zaidi...Namna ya kuyatunza macho
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Madhara ya kuchelewa kutibu tatizo la kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua.
Soma Zaidi...Njia za kujikinga na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Njia za kupunguza uzito na kitambi
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuwepo kwa uzito mkubwa pamoja na kitambi
Soma Zaidi...