Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ambavyo class moja inaweza kuriti method na properties kutoka kwenye class nyingine.
dKatika programu zinazotumia mwelekeo wa object-oriented (OOP), urithi ni kipengele kinachowezesha class moja kurithi tabia na sifa kutoka kwa class nyingine. Kotlin, kama lugha ya kisasa ya OOP, huipa kipaumbele usalama wa muundo wa code kwa kuzuia kurithiwa kiholela. Kwa hiyo, class au method haiwezi kurithiwa bila kuwekwa wazi kwa kutumia open
. Katika somo hili, tutajifunza si tu kuhusu jinsi ya kuandika inheritance kwenye Kotlin, bali pia jinsi modifiers mbalimbali zinavyoathiri uwezo wa urithi au upatikanaji wa vipengele vya class.
Inheritance ni dhana ya Object-Oriented Programming (OOP) inayoruhusu class moja kurithi mali (properties) na tabia (methods) kutoka kwa class nyingine.
Kwa mfano: Kama tuna class ya
Mnyama
, tunaweza kutengeneza class yaMbwa
auPaka
inayorithi kutoka kwaMnyama
bila kuandika upya kila kitu.
Supper class na subclass:
class ambayo inarithiwa huitwa parent class yaani mzazi. Hii pia huitwa supper class na class ambayo inarithi huitwa child class yaani mtoto. Hii pi huitwa subclass. Ili class iweze kuruthiwa inahitajika kuwa open yaani open class. Class inaweza kuwa open kwa kuwekewa keyword ya open.
Kurudia code (reusability)
Kupunguza makosa (less redundancy)
Kuweka hierarkia ya class zinazohusiana
Kurahisisha matengenezo na upanuzi wa programu
Kipengele | Maelezo |
---|---|
open class |
Class inayoruhusu kurithiwa (by default class zote Kotlin ni final) |
: (colon) |
Hutumika kuonyesha urithi |
super |
Keyword ya kufikia class ya mzazi kutoka class ya mtoto |
override |
Keyword ya kuandika upya method ya mzazi kwenye mtoto |
open class Mzazi {
fun salamu() = println("Habari kutoka kwa mzazi")
}
class Mtoto : Mzazi()
Maelezo:
Mzazi
ni class ya juu (superclass au base class)
Mtoto
ni class ya chini (subclass au derived class)
Mtoto
anarithi function salamu()
kutoka Mzazi
open class Mnyama(val jina: String) {
">
...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za undishi wa code za Kotlin yaani syntax za kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza tofauti wa library na package
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...