Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye Kotlin. pia utakwenda kujifunza kuhusu concatnation na interpolation
Kama ilivyo kwa baadhi ya language kama Kotlin inatumia keyword var na val katika kuandika variable. Variable ni kiwakilishi ni nacho hifadhi thamani fulani ya data. Kwa mfano nikisema x ni sawa na 4 yaani (x = 3) hapa tunasema kuwa x ni variable ambayo inahifathi thamani ya 3.
Sasa tukija kwenye Kotlin tukitaka kuandika variable x kuwa inawakilisha 3 hapo tutatumia keyword var au val. Lamda kabla hatujakwenda mbali nikujulishe kuwa keyword i maneno maalumu ambayo hutumika kwenye language husika.keyword ni kama fun, main, var, val tunaendelea kuziona keyword nyingine kadiri somo linavyokwenda.
Ili uweze kuandika variable kwanza utaanza na keyword var ama val kisa utafuatia kuandika jina la hiyo variable yaani identifier kisha litafuatiwa na alama ya (=) kisha ndipo utaweka thamani ya hiyo variable. Neno thamani tutalitumia kama value.
Mfano:
fun main(){
var x = 3
val y = 4;
}
Sawa wacha tuone mfano haisia. Tunataka kujumlisha namba 4 na 3 kwa kutumia variable zao. Angalia mfano hao chini:
fun main(){
var x = 3
val y = 4
var ujumbe = "Mfano wa variable"
print(ujumbe + ' ')
println(x +y)
}
Utofauti wa var na val
Unapotumia val kutengeneza variable, hiyo variable unaweza kuibadilishia thamani. Mfano variable yetu x = 3, tunataka kuibadilishia thamani kuwa 4. Kubadilisha thamni ni kuitengeneza variable upya kwa jina lilelile.
fun main(){
var tovuti = "Bongoclass"
tovuti = "Google"
println...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza tofauti wa library na package
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Somo hili linaelezea dhana ya abstraction na interfaces katika Kotlin — namna zinavyosaidia kuficha undani wa utekelezaji na kuweka miongozo ya kazi. Tutafahamu tofauti kati ya abstract class na interface, na tutaandika mifano halisi ya kila moja.
Soma Zaidi...Somo hili linafafanua dhana ya Encapsulation katika OOP, matumizi yake ndani ya Kotlin, pamoja na modifiers mbalimbali (private, protected, internal, public). Pia tutajifunza kwa mifano jinsi encapsulation inavyosaidia kulinda data na kudhibiti ufikivu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za undishi wa code za Kotlin yaani syntax za kotlin.
Soma Zaidi...