Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
PACKAGEPackage ni njia ya kupanga na kupanga upya (organize) code yako kwa mpangilio mzuri na wa kihierarkia. Kwa lugha rahisi, package ni "folda ya kiakili" inayoonyesha kuwa faili au code fulani ni sehemu ya kundi au moduli fulani.
package com.bongolite.utils
Hii inaonyesha kwamba code iliyopo katika faili hilo iko kwenye kundi (package) linaloitwa com.bongolite.utils.
Katika Kotlin, packages huweza kugawanywa katika makundi yafuatayo:
Hizi ni packages ambazo tayari zimo ndani ya Kotlin. Hautakiwi kuziunda; zinapatikana moja kwa moja.
| Package | Maelezo |
|---|---|
kotlin.math |
Kazi za hisabati kama sqrt(), PI, abs() |
kotlin.collections |
Orodha, ramani na seti – List, Map, Set |
kotlin.io |
Kazi za I/O kama readLine() na println() |
kotlin.text |
Kazi za maandishi kama substring() |
kotlin.random |
Kutengeneza namba za bahati |
import kotlin.math.sqrt
fun main() {
println(sqrt(16.0)) // Output: 4.0
}
Hizi ni packages unazoziunda mwenyewe ndani ya project yako ili kupanga code yako vizuri.
| Package | Kazi |
|---|---|
com.bongolite.utils |
Kazi ndogo ndogo kama formatting |
com.bongolite.database |
Kuhusu hifadhidata |
com.bongolite.auth |
Login & usalama |
tz.bongo.math |
Hisabati za ki-Tanzania 😉 |
org.school.results |
Matokeo ya wanafunzi |
package com.bongolite.utils
fun greet(name: String) {
println("Hello, $name!")
}
Hizi ni kutoka kwa developers wengine, hupatikana kupitia Gradle au Maven.
| Package | Library / Kazi |
|---|---|
com.google.gson.Gson |
JSON parsing (Gson) |
org.jetbrains.exposed |
ORM kwa database |
com.squareup.retrofit2 |
HTTP API client |
io.ktor.client.* |
HTTP client ya Kotlin |
org.koin.core.* |
Dependency injection |
import com.google.gson.Gson
data class User(val name: String, val age: Int)
fun main() {
val gson = Gson()
val json = gson.toJson(User("Asha">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za undishi wa code za Kotlin yaani syntax za kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
Soma Zaidi...Katika soomo hili utakwenda kujifunza kuhusu class, maana yake, na jinsi ya kuitengeneza
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ambavyo class moja inaweza kuriti method na properties kutoka kwenye class nyingine.
Soma Zaidi...