Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai
Faida za papai
1. Hudhibiti cholesterols mbaya mwilini
2. Husaidia katika kupunguza uzito
3. Huimarisha mfumo wa kinga
4. Ni tunda zuri kwa wenye kisukari
5. Husaidia kuboresha afya ya macho
6. Huondoa tatizo la kutopata choo
7. Huzuia kuzeeka mapema
8. Huzuia kupata magonjwa ya saratani
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Vitamini C ni moja kati ya vitamini muhimu sana katika kuboresha ufanyaji kazi wa mfumowa kinga mwilini yaani immune system. Katika post hii utakwenda kujifunza kazi za vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza na kukuelimisha kuhusu umuhimu wa kula parachichi kiafya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin D
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi
Soma Zaidi...Umeshawahi kuumwa na dawa yako ikawa maji? Huwenda bado basi hapa nitakujuza kidogo tu, juu ya jambo hili.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha vyakula ambavyo ni vizuri kwa mwanamke anayenyonyesha ili kumsaidia kupata maziwa kwa wingi.
Soma Zaidi...