Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi.
Swali:
Habari za asubuhi doctor. Naomba msaada wako.....je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika?
Jibu:
Mimba huigia wakati mwanamke yupo katika siku hatari tu. Hata hivyo haimaanishi kuwa ndio lazima utapata ujauzito pindi ukifanya tendo katika siku hizi. Kuna mambo mengi yanaweza kusababisha mimba usipate hata kama umeshiriki katika siku hatari.
Mambo yanayozuia ujauzito:
1. Mbegu kuwa chache
2. Mbegu kuwa dhaifu
3. Kuzidi kwa tindikali kwenye mirija ya falopia
4. Kuwepo na vizuizi vitakavyozuia mbegu zisilifikie yai
5. Mbegu kuwa changa yaani hazijakomaa
6. Yai kutokukomaa vyema
Hivyo asi unaweza basi kwa sababu hizi unaweza kushiriki tendola ndoa bila ya kinga katika siku hatari na usipate mimba.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue
Soma Zaidi...Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
Soma Zaidi...Kipimo chamimba cha mkojo, huonyesha nestory miwili kuwa una mimba, na mmoja kuwa huna mimba. Sasa je ukitokea mmoja umekoleana mwingine hafifu? Endelea na pasti Γ’ΕΒΓ―ΒΈΒ hadi mwisho
Soma Zaidi...Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo kwa mjamzito huweza kuanaa kuonekana mwanzoni kabisa mwaujauzito, ndani ya mwezi mmoja. Ikabidi si dalili pekee ya kuwa ni mjamzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi fibroids au uvimbe kwenye via vya uzazi hasa hasa utokea kwenye tumbo la uzazi ambapo kwa kitaalamu huitwa uterusi, uvimbe huu ulitokea watu wengine huwa hawawezi kutambua Dalili zake mapema kwa hiyo leo tunapaswa kujua Dalili zake
Soma Zaidi...