Madhara ya mwili kushindwa kutengeneza projestron ya kutosha

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.

Madhara ya mwili kushindwa kutengeneza projestron ya kutosha..

1. Kwanza kabisa tunafahamu wazi kwamba mwili wa binadamu unapaswa kuwa na homoni sawa kwa hiyo homoni Moja ikiwa nyingi kupita nyingine usababisha Ile homoni iliyotawala kufanya kazi zaidi kuliko nyingine na sifa za nje  na za ndani ufanana na Ile homoni ambayo utawala nyingine.

 

2. Kuna wakati mwingine mwilini huwa Kuna kipindi cha homoni ya estrogen uwa nyingi kuzidi homoni ya progesterone  hali ambayo usababisha kiwango cha estrogen kuongezeka na kwa kiasi kikubwa sana na kusababisha matatizo mbalimbali kwenye mwili .

 

3.Kwa hiyo kama Kuna tatizo hili la kupunguza kwa homoni ya progesterone Kuna madhara ambayo yanaweza kutokea kwa mfano kwa upande wa akina dada homoni hii inatoa mchango mkubwa sana hasa wakati wa uchevushaji wa mayai kwa hiyo homoni hii ikikosekana Kuna uwezekano wa hedhi kutoenda sawa au kwa wakati mwingine kushindwa kubeba mimba.

 

4. Kwa upande wa akina Mama wenye mimba homoni hii usaidia katika makuzi ya mtoto na katika kuonyesha dalili zote za mimba kwa hiyo kama mama mwenye mimba akikosa homoni hii Kuna uwezekano wa kupata shida katika ukuaji wa mtoto kwa sababu ya kutegemea homoni Moja tu yaani homoni ya estrogen badala ya kuwepo kwa homoni zote mbili.

 

5 .kwa hiyo tunapaswa kuchukua hatua na kupata matibabu ikitokea tatizo la Namna hii hii Ili kuweza kuokoa maisha ya Mama na mtoto au kuepuka ugumba na matatizo mengine kama hayo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/03/Sunday - 08:54:27 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1050


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-