Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kulia
MAUMIVU YA TUMBO KWA CHINI UPANDE WA KULIA
Sehemu ya tumbo kwa chini upande wa kulia ndipo ambapo baadhi ya viungo kupatikana kama utumbo mkubwa, appendix, na kwa baadhi ya wanawake ni ovari hupatikana maeneo haya.katika hali za kawaid maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia huwa yanaondoka yenyewe ndni ya siku mbili ama tatu. Ila kwa baadhi ya nyakati kama yanahusiana na shida za afya zaidi matibabu ni lazima yafanyike.
Maumivu haya yatahidaji uangalizi wa karibu wa daktari endapo yatafungamana na dalili zifuatazo:1.Maumivu na mkandamizo kwenye kifua2.Homa3.Damu kwenye kinyesi4.Kuendelea kwa kichefuchefu na kutapika kwa masiku kadhaa.5.Ngozi kuwa na rangi ya njano6.Kukaza kwa tumbo sana unapoligusa7.Kujaa kwa tumbo
Sababu za maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia1.Ugonjwa wa Appendix:Appendix ni sehemu ndigo ambapo utumbo mkubwa hukutana na utumbo mdogo. Sasa sehemu hii hutokea kuathiriwa hivyo hujaa na kuvimba ugonjwa huu unaitwa appendicitis. Hii ni katika sababu kuu za maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia. Tofauti na maumivu haya ugonjwa wa appendix hufungama na na dalili zifuatazo:-1.Kichefuchefu2.Kutapika3.Homa4.Kuharisha5.Kukosa hamu ya kula6.Kujaa kwa tumbo7.Kukosa hamu ya kula. we
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watoto mapacha wanaofanana,ni watoto wanaozaliwa wakiwa wanaofanana kwa sura na hata group la damu huwa ni Moja.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo muhimu kwa wanawake kabla ya kubeba mimba,Ni mambo ya kuzingatia ili mama akija kubeba mimba awe mzima kimwili, ki afya na kisaikolojia na hivyo hivyo Mtoto atakayezaliwa atakuwa salama.
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo kwa mjamzito huweza kuanaa kuonekana mwanzoni kabisa mwaujauzito, ndani ya mwezi mmoja. Ikabidi si dalili pekee ya kuwa ni mjamzito.
Soma Zaidi...Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Soma Zaidi...Hivi unadhani kuharisha ni katika dalili za mimba, vipi kuhusu kutopata choo pia inaweza kuwa ni ujauzito?
Soma Zaidi...