Aina za uvimbe kwenye kizazi.
Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi, uvimbe unatokea kwenye kizazi ila utofautiana kulingana na sehemu ambazo uvimbe huo umepata.
Aina za uvimbe kwenye kizazi.
1. Uvimbe kwenye kuta za mji wa mimba.
Aina hizi ya uvimbe kwa kitaalamu huitwa intramular mara nyingi uwa kwenye mlango wa kutokea kizazi inaweza kutokea kama mama amebeba Mimba na uvimbe ni kidogo kadri mtoto anavyokuwa na uvimbe unakua hatimaye wakati wa mtoto kuzaliwa ndipo uvimbe huu unaweza kugundulika.
2. Kuna uvimbe ambao utokea nje ya kuta za mji wa mimba, mara nyingi uvimbe huu huwa mkubwa na pia hauwezi kuingilia na pale mtoto alipo wakati wa kukua kwa hiyo uvimbe huu unaweza kuhadhili zaidi sehemu za nje ya mji wa mimba.uvimbe huu kwa kitaalamu huitwa subserosal fibroids
3. Kuna uvimbe mwingine utokea kwenye misuli chini ya ngozi laini ya kuta za mji wa Mimba.
Uvimbe huu kwa kitaalamu huitwa submucosal fibroids uvimbe kwa upande mwingine huu uvimbe haishambulii kwenye ndani ya mji wa mimba kwa hiyo uweza kuaribu sehemu mbalimbali za mwili.
4. Kuna uvimbe mwingine ambaye utokea kwenye mlango wa kizazi.
Huu uvimbe uwa karibu sana na mlango na tumbo la uzazi pia uvimbe unaweza kufanyiwa upasuaji na pia mtoto ambaye yuko tumboni anaweza kuishi kawaida na kuendelea na maisha kwa hiyo uvimbe huu kwa kitaalamu huitwa cervical fibroids.
5. Kwa hiyo hizi ndizo aina kuu za uvimbe ambazo zinaweza kujitokeza na pia zingine zinaweza kuishi kwa mda mrefu tumboni na kutoaribu mtoto kwa hiyo tunapaswa kujua aina hizi kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa baada ya kugundua kuwa kuna uvimbe wanapaswa kufanyiwa upasuaji na kuruhusu mama apate mimba au wasio na watoto waweze kupata mimba.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 web hosting 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
Soma Zaidi...Siku za kupata mimba
Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta
Soma Zaidi...TATIZO LA KUVIMBA KWA USO NA MIGUU KWA WAJAWAZITO
KUVIMBA VYA MIGUU KWA WAJAWAZITO Kuvimba kwa miguu ni hali inayowapara wengi katika wajawazito.
Soma Zaidi...Madhara ya kiafya ya kupiga punyeto
Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.
Soma Zaidi...Dalili za upungufu wa homoni ya progesterone
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone.
Soma Zaidi...