Somo hili linakwenda kujibu swali la je nitumie simu yangu wakati inachaji
NITUMIE SIMU YANGU WAKATI INACHAJI???
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili. Pia kutokana na baadhi ya video vilizoeneaga wakati fulani kuwa mtu alilipuliwa na simu yake kwa sababu alitumia ikiwa INACHAJI.
Ukweli ni kwamba kutumia simu wakati inachaji hakuwezi kuifanya iripuke hata kidogo, napia hakuwezi kuuwa betri yako. Mainjinia wa vifaa vya umeme wanatueleza kuwa katika simu kuna kifaa ambacho kinaundwa kama simu umesha jaa na kuizuia isichaji tena, hivyo hakuna madhara ya kuchaji simu hata kwa masaa 10.
Jambo la kuzingatia ni joto la betri yako. Wakati unapotumia kifaa chako hakikisha joto la simu yako halipandi kuwa la juu sana. Kwani hili joto ni hatari sana kwa maisha ya betri yako.
Ni vyema kama unatumia simu yako aidha ikiwa chaji au haipo chaji pindi joto la betri yako likipanda uipumzishe. Pia hakuna madhara ya kuilaza simu yako kwenye chaji.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuepuka malware ukiwa mtandaoni
Soma Zaidi...Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia simu yako kutokuwa na mtandao mzuri yaani network kuwa ndogo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook
Soma Zaidi...Wwatu wengi wamekuwa wakijiuliza ni muda gani hasa inapasa kuchaji simu, je nisubiri mpaka chaji iishe kabisa, ama nichaji ikiwa na asilimia ngap?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu utunzaji wa betri la kifaa chako
Soma Zaidi...