Utunzaji wa betri la kifaa chako

Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu utunzaji wa betri la kifaa chako

UTUNZAJI WA BETRY YA KIFAA CHAKO:

 

Kabla ya kuona njia za kutunza betry ya kifaa chako kwanza tuone adui mkubwa ambaye anachangia kuharibu betry yako kwa kiwango kikubwa. Jambo hatari sana linalosababisha kuharibika kwa bety hako ni kupata joto. Eric Limer alizungumza hivi "What's far more dangerous to a battery's well-being is heat. Lithium-ion batteries despise heat. A li-ion battery that's been exposed to temperatures of around 100 degrees Fahrenheit for a year will lose about 40 percent of its overall charge capacity. At 75 degrees, it'll lose only about 20 percent."?hivyo joto ni katika adui mkubwa wa betry yako ya simu au kompyuta. Betry ikiwa inapata joto jin gi wakati wa kutumika inaweza kupoteza uwezo wake wa kufanya kazi kwa haraka zaidi na kwa kiwango kikubwa kama alivyosema katika nukuu za hapo juu kuwa betry iliyowekwa katika joto la 100 Fahrennheit kwa mwaka inapoteza asilimia 40% za uwezo wake wa kijumla wa kuchaji, na likiwa joto hilo ni 75% inapoteza 20% ya uwezo wake wa kuchaji. hivyo kama utaizuia betry yako kupata joto jingi kwa muda mrefu unapofanya kazi utaweza kudhibiti uwezo wa betry yako wa kufanya kazi. Sasa kwakuwa tumeshaona adui mkubwa wa betry zetu hebu tuone sasa namna ya kutunza betry zetu.Njia za kutunza betry

1. Towa betry yako katika kifaa chako ili ipowe kama imepata moto kwa muda mrefu bila ya kupozwa. simu au laptop zingine huwa zikipata joto huchelewa kupowa hivyo kitendo hiki kitafanya betry yako iendelee kuathirika. hivyo kamma utakuwa umemaliza shughuli zako unaweza kuitowa nje betry yako ili iweze kupowa.

2.weka kifaa chako katika mazingira yasiyo na joto la hali ya juu. kwa mfano usiweke simu yako juu ya PS ambapo pana joto au juu ya laptop au kompyuta iliyo na joto. pia jiepushe kuiweka simu yako juu ya deki iliyo na joto. Halikadhalika kwa betry ya laptop yako epusha kuiweka katika mazingira nambayo yataifanya ipate joto la juu kwa mfano kuiweka juu ya godoro au kitu ambacho itasababisha joto la kompyuta yako lisipungue kwani godoro linaweza kuziba matundu ambayo yamewekwa kwa ajili ya kupunguza joto la ziada.

3.Hifadhi betry yako ikiwa ina chaji kiasi walau kidogo.Inatokea unazaidi ya betri oja na unataka kuipunzisha betry ya zamani hivyo inashauriwa kuihifadhi ikiwa ina kiasi cha chaji. pia nivizuri kuiwacha betry katika kifaa chako ikiwa ina kiasi cha chaji walau kidogo.Mengineyo katika kutunza bety: Tokeo la picha la wifi

1.funga wi-fi kama hautumii. wireless ni katika vyanzo ambavyo pindi ikiwa ON na ipo connected inaweza kutumia chaji nyingi sana kwa wakati mfupi ambapo kitendo hiki pia kianaweza kuhatarisha uhai wa betry yako.

2. funga bluetooth na funguza mwanga wa screen yako na punguza muda wa kudisplay screen yako

3.funga shughuli zote zinazofanyika kwa kufificha yaan background activities.

4. mwisho kama betry yako inaendelea kusumbuwa ni vizuri kwendakuibadilisha ni vizuri kununuwa mpya tofauti na kunu uwa kwa mtu. nenda dukani ukapate betry yako mpya uendelee kuvinvjari ukiwa na kifaa chako.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-09     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1318

Post zifazofanana:-

Dalilili za homa ya matumbo (typhoid fever)
Post hii Ina onyesha DALILI za Homa ya matumbo (typhoid fever) huenea kupitia chakula na maji machafu au kwa kuwasiliana kwa karibu na mtu aliyeambukizwa. Dalili na ishara kwa kawaida hujumuisha Homa kali, maumivu ya kichwa, maumi Soma Zaidi...

Utangulizi wa Android App Development
Haya ni mafunzo ya muda mfupi katika kujifunza hasa ujuzi wa kutengeneza Android App hata kama haujui kitu kuhusiana na Android Development Soma Zaidi...

Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.
Post hii inahusu zaidi Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, hali hii uwatokea sana wanawake zaidi ya wanaume, kwa kitaalamu hali hii ya kuwa na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo huitwa cystitis. Soma Zaidi...

Mafunzo ya sura zilizochaguliwa
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Je, mtu anaweza kusoma quran akiwa amelala?
Kusoma Qur'an kuna faida kubwa kwa Muislamu, kwanza kunampatia thawabu, kunatoa nuru maisha yake, mwili wake na kumlinda na mashetani na watu wabaya. Quran ni dawa na pozo kwa magonjwa. Thawabu za Qur-an hulipwa kwa kila herufi. Quran pia huja kutet Soma Zaidi...

Utajuaje Kama simu au kompyuta yako Ina virus
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kujua Kama simu yako ina virus Soma Zaidi...

Mji wa Makkah na kabila la kiqureish
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Dawa ya Carvedilol na kazi yake.
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula spinach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach Soma Zaidi...

Dawa ya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za minyoo Soma Zaidi...

Kazi kuu tatu za vitamini C mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi kuu tatu za vitamini C Soma Zaidi...

Siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba Soma Zaidi...