Posti hii inakwenda kukupa baadhi ya matatizo katika hard disk
MATATIZO KATIKA HARD DISK:Hard disk ni kifaa cha kuhifadhia kumbukumbu katika kompyuta. Pia ijulikane kuwa window tunazozitumia huwa zinahifadhiwa katika hard disk. hivyo tatizo lolote litalotokea katika hard disk linaweza kuathiri mfumo mzima wa utendaji wa kazi wa kifaa chako.kikawaida hard disk ikiwa na matatizo inazungunza yenyewe kwa kukuletea warning yaan onyo kuwa hard disk yako inamatatizo hivyo ubackup data zako ili zisije kupotea pindi ikiharibika kabisa. Pia tutambuwe kuwa itapoharibika hard disk hakuna na,na ya kuzipata data zilizokuwa mule hivyo kila ambacho kimo kitapotea.jambo la msingi hapa nji kuwahi kubadili hard disk yako. pia pindi ukipata onyo hilo uwahi kuzihamisha data zako kwenda sehemu salama zaidi. Muone fundi wa hard ware akubadilishie hard disk yako kama inakupa warning. Kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha unanunuwa disk mpya kutoka dukani kwani za kunu nua kwa watu kuenda ikawa na matatizo pia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako
Soma Zaidi...Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako
Soma Zaidi...