Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sabau za simu kusumbua mtandao
SIMU KUSUMBUWA MTANDAO NINI SABABU
Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia simu yako kutokuwa na mtandao mzuri yaani network kuwa ndogo. Mambo haya ni pamoja na:-1. Umbali kutoka kwenye mnara2. Hali ya hewa3. Uwezo mdogo wa simu, ama simu kuwa mbovu4. Vitu vinavyo kuzunguka na sehemu ulipo kama mabondeni, kwenye shimo, kwenye msitu mnene n.k5. Kubadilika kwa mnara.
Kuna mambo mawili hapa nitaongezea. Hutokea wakati mwingine upo sehemu nzuri, na karibu na mnara na simu yako ni nzima, lakini mtandao unasumbuwa. Hapa kuna mambo mawili unatakiwa uyajue kama:-
1. Kubadilika kwa mnara. Unapotoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye mnara mwingine, simu yako itabadilisha mnara kutoka ule wa mwanzo na kutumia wa pili. Hivyo basi njia sahihi hapa ni ku restart au reboot simu yako. Ama izime kisha iwashe tena.
2. Pia wakati mwingine huwenda simu yako ina app(program)nyingi ambazo zinatumia network kwa mfano ukiwasha data na ukiwa na application nyingi ambazo zinatumia data kwa kuonyesha matangazo, pic, sms n.k hili huweza kufanya network ya simu yako kuwa ndogo ama dhaifu.
Kwa maelezo zaidi ya makala hizi za sayansi na teknolojia usiwache kutembelea chanel yetu ya video youtube
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa baadhi ya matatizo katika hard disk
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware
Soma Zaidi...Facebook hawana mpango wa kufunga akaunti ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu, haijalishi akaunti ni ya marehemu ama yupo hai.
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu utunzaji wa betri la kifaa chako
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...