Kujaa kwa memory au hard disc


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa


KUJAA KWA MEMORY AU HARD DISK:Tokeo la picha la full meoryHili ni jambo jingine linaloifanya kompyuta au simu yako kuwa slow.Pindi hard disk inapokuwa imejaa inapelekea kommpyuta yako kuwa slow halikadhalika simu yako kama memori itakuwa imejaa pia hupelekea simu yako kuwa slow kama tulivyozungumzia hili katika post zilizopita.Jambo la kufanya hapa ni kuhakikisha kuwa kifaa chako kina nafasi ya kutosha. Pia punguza au futa CACHED DATA kwa aelezo zaidi katika hili bofya hapa.Ama cached data kwa watumiaji wa kompyuta utahitajika kuclean kompyuta yako kama pia unaweza kutumia baadhi ya software kwa ajili ya kuclean kompyuta yako ila hapa unatakiwa uwe makini unaweza kufuta data zako. kupata software huzo unaweza kufuata linki hii hapa bofya hapa.5.MATATIZO KATIKA HARD DISK:Hard disk ni kifaa cha kuhifadhia kumbukumbu katika kompyuta. Pia ijulikane kuwa window tunazozitumia huwa zinahifadhiwa katika hard disk. hivyo tatizo lolote litalotokea katika hard disk linaweza kuathiri mfumo mzima wa utendaji wa kazi wa kifaa chako.kikawaida hard disk ikiwa na matatizo inazungunza yenyewe kwa kukuletea warning yaan onyo kuwa hard disk yako inamatatizo hivyo ubackup data zako ili zisije kupotea pindi ikiharibika kabisa. Pia tutambuwe kuwa itapoharibika hard disk hakuna na,na ya kuzipata data zilizokuwa mule hivyo kila ambacho kimo kitapotea.jambo la msingi hapa nji kuwahi kubadili hard disk yako. pia pindi ukipata onyo hilo uwahi kuzihamisha data zako kwenda sehemu salama zaidi. Muone fundi wa hard ware akubadilishie hard disk yako kama inakupa warning. Kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha unanunuwa disk mpya kutoka dukani kwani za kunu nua kwa watu kuenda ikawa na matatizo pia.6.KUWA NA ADD-ONS NYINGI KATIKA KIVINJARI CHAKO CHA TOVUTI:Hizi ni EXTENSIONS ambazo husaidia kivinjari chako yaan internet browser kuweza kufunguwa baadhi ya web kwa kutumia shotkat (njia ya mkato) na kuweza kufanya kazi moja kwa moja bila ya kuingia website yenyewe. Au ni software ambazi hujishikiza katika kivinjari cha inatanet kwa lengo la kufanya kazi zinazohitaji internet kwa urahisi na uharaka zaidi.Tokeo la picha la add-onsHizi extention sio zote zimetengenezwa kukusaidia kufanya kazi za kukurahisishia katika kubrows bali zimekuwa zikileta pop yaani vijiatangazo ambavyo vinaweza kuishughulisha kompyuta yako na kuwa nzito. wakati mwingine hiz add-ons zinaweza kukuunganisha katika website ambazo hukukusudia kuingia au kudaunlod software kioutomatik.Kitu ch kufanya hapa ni kuhakikisha unaziondowa adds zote ambazo hauzitumii, na kama tatizo likiendelea ni vizuri zaidi kuzitowa zote katika kivinjari chako. Jinsi ya kuzitowa inategemea na aina ya kivinjari chako ila kitu cha kuziingatia ni kuingia katika menu ya kivinjari chako kisha tafuta neno EXTENTION kisha delet zote.Huu ndo ukamilisho wa mada yetu iliyokuwa ikihusu mambo yanayosababisha kompyuta au simu yako kuwa slow. Kupata nukuu zilizopita bofya hapa.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani offline       ðŸ‘‰    2 Jifunze Fiqh       ðŸ‘‰    3 Tunakukaribisha kwenye Maktaba yetu       ðŸ‘‰    4 Download App zetu hapa ujifunze zaidi    


Je una maswali, maoni ama ushauri, tutumie sms ✉ bofya hapa hapa, ama wasiliana nasi kwa WhatsApp bofya hapa



Post Nyingine


image OUR PRIVACY POLICIES.
Soma Zaidi...

image Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao Soma Zaidi...

image Mbu (mosquito)
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mdudu mbu Soma Zaidi...

image Yanayoathiri betri yako
Somo hili linakwenda kukuletea mambo yanayo athiri betri lako Soma Zaidi...

image Tofauti ya Trojan na virusi
Posti hii inakwenda kukupa tofauti za trojani na virusi Soma Zaidi...

image CONTACT US
Soma Zaidi...

image Njia rahisi ya kudownload video YouTube
Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube Soma Zaidi...

image Cheetah
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama cheetah Soma Zaidi...

image Tembo
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama tembo Soma Zaidi...

image Njia za kujilinda na malware
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware Soma Zaidi...