Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function kwenye javascript. Utajifunz apia namna ya kuitumia function hiyo
JAVASCRIPT FUNCTIONS:
Function ni kundi la code ambalo unaweza kulitumia zaidi na zaidi. Na hata hivyo function haiwezi kufanyakazi hata mpaka iwe imeitwa (invoked/called).
Function zipo katika namna mbili ambazo ni built in functions na user defined functions. Hizi built in function ni zile ambazo zimetengenezwa moja kwa moja na walioivumbuwa hii language. Na Usher defined function ni zile ambazo mtumiaji anazitengeneza yeye mwenyewe.
Jinsi ya kutengeneza function:
Iili kuweza kuandika function javascript hutumia keyword function kisha hufuatiwa na jina la function kisha hufuatiwa na mabano () ambayo ndani yake kunakaa parameta. Endapo zitakuwepo parameta zaidi ya moja utazitenganisha na alama ya kima, baada ya kuweka hayo mabano yenye parameta utaweka mabano mengine hay {} ambayo ndani yake ndio hukaa hizo cede za function yako.
Wacha tuone mifano ya functiona hapo chini: -
Mfano 1:
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title> Mfano wa 1 </title>
</head>
<body>
<script>
/* Mwanzo wa function */
function karibu(str) {
/* Code za function hukaa hapa */
document.write("Karibu Bongoclass");
}
/* Hapa ndipo utaiita function */
karibu();
</script>
</body>
</html>
Mfano 2:
Katika function pia tunaweza kutumia return keyword. Hii hutumika pale unapotaka kupata thamani ya fulani kutoka kwenye function yako.
Kwa mfano unafanya usajili wa watoto, hivyo unataka kuandika jina la mtoto, la bana ama ukoo pamoja na kabila lake. Unaweza kutumia return keyword ili kupata taarifa za mtoto huyu.
Keyword hii hasa hutumika kustop code zisiendelee ku run kisha huleta matokeo ya code hizo popote pale zilipoitwa.
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu matendo ya hesabu ambayo ni kugawanya, kujumlisha, kuzidisha na kutoa
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza kutengeneza game ya tic toc ya mchezaji mmoja na kompyuta yaani single player
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
Soma Zaidi...Katika somo hilibtutakwenda kujifunza kuhusu loop. Katika programming tunaposema loop tunamaanisha ile hali ya program ku excute code zaidi na zaidi. Tofauti na kurudia rudia kuandika statement moja kwa ajili ya kupata matokeoa hayohayo basi unapotumia lo
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu javascript events. Event ni neno la Kiingereza lenye maana tukio wingi wake events kumaanisha matukio. Natumia ni kila ambacho kinatokea kwenye javascript.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza baadhi ya function maaumu zinazotumika kwenye string yaani string method.
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu condition statemant. Darasa hili ni moja katika madarasa muhimu programming. Katika somo hili tutajifunza kwa vitendo zaidi. Tutatumia mifano ya somo lililo tangulia.
Soma Zaidi...