Post hii inahusu zaidi dawa ya macrolide ni mojawapo ya dawa ya kutibu au kupambana na bakteria na upambana na bakteria wafuatao streptococcus pyogenes, staphylococcus aureus na haihusiki na haemophilia influenza ambao usababisha maambukizi kwenye mfumo w
1. Dawa hii ya macrolide ni dawa ambayo Ina dawa nyingine ndani yake kama vile azithromycin, erythromycin na clarithromysin ambazo kwa pamoja upambana na bakteria ambao tumeweza kuwaona hapo juu.
2. Dawa hii kwa sababu ya mkusanyiko wa dawa zaidi ya Moja kwa hiyo usaidia kwenye matibabu ya maambukizi ya bakteria ndani ya sikio, kwenye miwasho na viupele vya mwilini, pia utibu kikohozi, usaidia kwenye minyoo ya tumboni ambayo Kwa kitaamu huiitwa intestinal ameobiasis, kwenye maambukizi ya kwenye mlango wa kizazi kwa kitaamu huiitwa pelvic inflammatory diseases, pia usaidia kwenye matibabu ya kaswende na kisonono.
3. Pia dawa hizi mara nyingi huwa kwenye mfumo wa vidonge kwa hiyo zinapotumiwa uenda Moja kwa moja kwenye mmengenyo wa chakula na pia kuingia kwenye mzunguko wa damu na hatimaye kuingia kwenye sehemu mbalimbali ambapo Kuna bakteria na kuanza mashambulizi na pia dawa hizi zinaweza kuingia kwenye maji maji ambayo yapo kwenye ubongo na kweye mfumo wa fahamu kwa kitaamu huiitwa central nerve system na pia dawa zinaweza kuingia kwenye plasenta au kondo la nyuma na kuweza kuuua bakteria walioma ndani.
4. Dawa hii ya macrolide haipaswi kutumiwa na watu wenye aleji na dawa hiyo na pia dawa hizi hazipaswi kutumiwa kabisa na watu wenye magonjwa ya ini na pia zitumiwe kwa uangalifu kwa wenye matatizo ya Figo, mimba changa na wale watumiaji wa pombe Kali wanapotumia dawa hizi wanapaswa kuacha kutumia kabisa pombe. Kwa wale wenye mimba changa dawa hizi zinaweza kutoa mimba,na kwa wale wagonjwa wa ini dawa hizi uwezo wa kuongeza sumu upo mkubwa mno na pia kwa wale wenye tatizo la Figo ni vizuri kunywa maji mengi endapo watatumia dawa hizi.
5. Vile vile dawa hizi zina matokeo mbalimbali kama vile kichefuchefu na kutapika maumivu ya tumbo na kichwa na pengine maupeke na miwasho.
Pia dawa hizi zinapaswa kutumika kwa uwepo wa uangalizi wa wa wataalamu wa afya sio kutumia dawa hii kiholela to.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja n
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi tiba ya jino,ni tiba ya kawaida kwa watu walio na matatizo ya meno, kwa kawaida tunafahamu kwamba jino huwa halina dawa ila dawa yake huwa ni kungoa lakini Leo nawaletea habari njema kwamba jino sio kungoa tena ila Kuna tiba ambayo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya faida ambazo upatikana kutokana na vidonge vya zamiconal,ni vidonge ambavyo utibu au kusaidia kwenye matatizo ya viungo vya uzazi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kutibu mafua ambazo ni cough seppessants na nasal congestion ni dawa ambazo zimependekezwa kwa ajili ya kutibu mafua.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria.
Soma Zaidi...DAWA YA MAPUNYEMatibabu ya mapunye inategemea ni wapi mapunjye yapo.
Soma Zaidi...PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa
Soma Zaidi...