Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
1. Dawa hii ya potassium sparing ni mojawapo ya dawa ambazo usaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo,na pia ni mojawapo ya dawa katika kundi la diuretics, dawa hii nayo ufanya Kazi kama dawa nyingine za matibabu ya magonjwa ya moyo ila yenyewe usaidia kudili zaidi na madini ya aina ya potassium ambnayo uongezeka sana mwilini na kusababisha matatizo zaidi hasa kwa wagonjwa wa moyo.
2. Kwa matumizi ya dawa hii ya potassium sparing Kuna maudhi madogo madogo ambayo yanaweza kutokea kwa watumiaji wa dawa na udhi la kwanza ni kukojoa mara kwa mara, kupoteza maji mwilini, kiwango cha sodium kupungua mwilini na vile vile kupungua kwa kiwango cha potassium, kushuka kwa presha, kizunguzungu na kukosa nguvu, ngozi kukauka na kuwepo kwa upele kwenye ngozi, na pia dawa hizi zina tabia ya kuleta matokeo mbalimbali kwa wanaume ambayo ni pamoja na.
3. Matiti kuvimba kwa wanaume hasa kwa watumiaji wa mda mrefu, na pengine sio kuvimba tu inawezekana mwanaume akawa na matiti kabisa, vile vile kwa wanaume walio wengi upatiwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au kukosa hamu ya tendo la ndoa,hasa hasa wanaume wanaopatwa na matatizo kama hayo ni wale watumiaji wa dawa ya spirolactone ambayo imo ndani ya potassium sparing ndio maana dawa hii huitwa potassium sparing diuretics- spirolactone, kwa hiyo spirolactone ndiyo unaleta shida kwa wanaume.
4. Kwa hiyo dwa hii inawezekana kabisa kutumiwa na watu mbalimbali kadri ya wataalamu wa afya ila umakini unahitajika kwa wenye presha ya kushuka, watu wenye tatizo la upungufu wa madini mwilini,na wale ambao Wana matatizo kwenye Figo, kwa hiyo dawa hii haipaswi kutumiwa kiholela Bali utumika kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Usisumbuliwe tene na fangasi ukeni, zijuwe hapa dalili za fangasi ukeni, tiba yake na njia za kukabiliana na fangasi ukeni
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali ambazo uchangia katika kupunguza nguvu za kiume , hii ni kwa sababu ya wataalamu mbalimbali wanavyosema
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ushauri kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, kabisa ya kubeba mimba akina Mama na wachumba wanapaswa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya lignocaine kama mojawapo ya Dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya loperamide ni dawa ambayo inazuia kuharisha ni dawa inayofanya kazi kuanzia kwenye utumbo na pia usaidia kutuliza maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...