Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za fangasi
DAWA YA FANGASIFangasi ni katika magonjwa yanayoathiri watu wengi sana. Fangasi wanaweza kuathiri ngozi, nywele na kucha. Unaweza kujitibu fangasi kwa kwenda duka la dawa na kununua dawa bila ya kuhitaji usimamizi maalumu wa daktari ila hii ni kwa dawa za fangasi za kupaka. Za kunywa na sindano hakikisha unapata ushauri wa daktari kwanza. Kumbuka matibabu ya fangasi yanategemea aina ya fangasi wanaokusumbuwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Dawa ya Rifampicin na kazi zake, hii ni dawa mojawapo inayotibu kifua kikuu kati ya Dawa zilizoteuliwa kutibu ugonjwa wa kifua kikuu.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za kutibu ugonjwa wa macho
Soma Zaidi...PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu dawa ya salbutamol na kazi yake ya kutibu ugonjwa wa Asthma, ni dawa mojawapo ambayo imetumia na watu wengi na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa, kwa hiyo zifuatazo ni kazi ya Dawa hii ya salbutamol katika kutibu Asthma.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ibuprofen katika kutuliza maumivu, ni aina mojawapo ya dawa na yenyewe ufanya kazi kama aspirin na paracetamol
Soma Zaidi...Ukiwa mjamzito uwe makini sana katika kuchagua matumizi ya dawa. Vinginevyobinawwza kuwa hatari. Hapa nitakujuza dawa ambazo ni hatari kutumia kwa ujauzito wako.
Soma Zaidi...Hapa utajifuanza dalili za presha ya kushuka, na dawa ya presha ya kushuka na nJia za kuzuiaama kudhibiti presha ya kushuka
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...