Dawa za mapunye
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za maounye
DAWA YA MAPUNYEMatibabu ya mapunye inategemea ni wapi mapunjye yapo. Mapunye yanaweza kuota kichwani, mikononi, mgongoni na maeneo mengine. Pia matibabu yatategemea ni kiasi gani mmtgu ameathiriwa na hayo mapunye. Mapunye yanayweza kibiwa na dawa za kupaka kama losheni za fangasi na poda zake. Miongoni mwazo ni:-
Dawa ya mapunye ya kupaka:1.Clorimazole2.Miconazole3.Terbinafine4.Ketoconazole
Endamp dawa hisi hazitaweza kumaliza mapunye, daktari anaweza kukuandikia dawa za kumeza amasindano. Katu dawa hizi usimeze kiholela bila ya kupata ushauri wa daktari. Dozi ya dawa hizi inaweza kwisha ndani ya mwezi mmoja ama ikaendelea mpaka miezi mitatu. Dawa hizi za mapunye za kumeza ni pamoja na:-
Dawa ya mapunye ya kumeza.1.Terbinafine. Dawa hii inaweza kunywewa ndani ya wiki nn4. hata hivyo inaweza kukuletea mabadiliko kwenye mwili wako kama kichefuchefu, kuhara, kukosa choo na ukurutu. Si lazima mabadiliko haya uyaone kuna wengine hawaoni chochote.
2.Griseofulvin. Dawa hii inaweza kutumiwa kuanzia wiki 8 mpaka 10. Pia inaweza lupatikana katika mtindo wa kupulizia. Nayo inaweza kulete mabadiliko kama kuhara, kutapika, kichefuchefu, maumivu ya kichwa na kukosa choo. Dawa hii sio salama kwa wajawazit, ama kama upo katika harakati za kubeba mimba ama kama unanyonyesha.
3.Itraconazole. Dawa hii humezwa ndani ya siku 7 mpaka 15. si nzuri dawa hii kutumiwa na watoto wadogo, wazee na walio na maradhi ya ini. Dawa hii pia inaweza kukuletea mabadiliko kama maumivu ya kichwa, kichefuchefu, kutapika, kuhara na kukosa choo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 ai web app 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Fahamu kuhusu dawa ya potassium sparing
Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Madhara ya Tiba mionzi
Post hii inahusu zaidi madhara ya Tiba mionzi kwa wagonjwa wa saratani, ni madhara yanayotokea kwa wagonjwa wanaotumia mionzi katika matibabu ya saratani.
Soma Zaidi...IJUE DAWA YA AMOXLINE (antibiotic) NA MATUMIZI YAKE
Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...Dawa ya fangasi ukeni
Usisumbuliwe tene na fangasi ukeni, zijuwe hapa dalili za fangasi ukeni, tiba yake na njia za kukabiliana na fangasi ukeni
Soma Zaidi...Fahamu antibiotics ya asili.
Post hii inahusu zaidi antibiotics ya asili, ni antibiotics inayotumia vitu vya kila siku na ya kawaida na mtu akaweza kupona kabisa na kufanya kazi kama antibiotics ya vidonge vya kawaida.
Soma Zaidi...