Ijue dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu

Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin.

Fahamu dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu.

1.kwa sababu dawa hii utumika katika kutukiza maumivu, Kuna watu ambao hawapaswi kutumia dawa hii kwa sababu mbalimbali,watu hao ni wake wenye matatizo katika ini, matatizo ya Figo na wale waliokunywa pombe hawapaswi kutumia dawa hii kwa sababu haiendani na pombe, pia mtu akiitumia na akatapika ndani ya nusu saa anapaswa kutumia dawa nyingine kama Ile dozi ya kwanza , kwa sababu dawa hiyo inakuwa haijafanya kazi.

 

2. Matokeo ya dawa hii baada ya kutumia, kwa watumiaji wa dawa hii ya paracetamol wanaweza kupata tatizo la kuharibika kwa ini hasa hasa kwa wale waliokunywa dawa nyingi au wanaotumia dawa hii mara kwa mara, hasa wale akina dada ambao Wana matatizo ya kuumwa tumbo kila mwezi na kila siku wanatumia dawa za Panadol na na wakija kumaliza siku za hedhi wanakuwa wametumia dawa nyingi vipi kwa mwezi watatumia dawa kiasi gani kwa hiyo wako katika hatari ya kupata maambukizi kwenye ini.

 

3. Dawa hii inawezekana kutumiwa kwa njia ya mdomo kwa sababu ipo kwenye vidonge na pia iko kwenye majimaji ambayo utumiwa na watoto wadogo na sasa hivi zimeletwa paracetamol za kwenye njia ya mishipa nazo pia zinatumika sana kwa watoto na watu wazima wanatumia vidonge.

 

4. Kwa watumiaji wa dawa kwa njia ya mdomo vidonge hivi huwa na kilogramu sifuri nukta tano mpaka kilogramu moja kwa masaa sita na maximum ni kilogramu nne. Watoto wenye miezi miwili wanatumia milligrams sitini kwa waliomaliza chanjo na yenyewe inatumika kwa masaa sita.

 

5. Na pia watoto kuanzia miezi mitatu mpaka mwaka mmoja wanatumia milligrams kuanzia sitini mpaka mia moja ishirini, miaka mmoja mpaka miaka mitano utumia milligrams kuanzia mia ishirini mpaka mia mbili hamsini, miaka sita mpaka kumi na mbili utumia miligramu kuanzia mia mbili hamsini mpaka mia tano dozi zote hizi zinabidi kutumiwa kuanzia masaa manne mpaka masaa sita. Pia kwa upande wa syrup inabidi kutikisa kabla ya kutumia.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/17/Saturday - 02:16:13 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 586


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-