Posti hii inahusu zaidi dawa ya lignocaine kama mojawapo ya Dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji.
1.lignocaine ni mojawapo ya dawa ambayo utumika wakati wa upasuaji ambapo uzuia mgonjwa asisikie maumivu makali wakati wa kufanyiwa upasuaji hii dawa uchomwa kwenye sehemu ambayo imeandaliwa kwa ajili ya upasuaji, kwa hiyo sehemu nyingine za mwili zinakuwa kawaida kwa hiyo hii dawa utuliza maumivu kwa mgonjwa.
2. Hii dawa ufanya kazi kwa kuzuia mfumo wa Neva kwa kuzuia sehemu ya juu ya ngozi kutoruhusu sodium ambayo usababisha ujumbe kuenea sehemu mbalimbali za mwili kwenye mfumo wa kusafilisha ujumbe, kwa kuwepo dawa hii ya lignocaine kwenye sehemu yoyote ya mwili kitendo Cha usafilishaji wa ujumbe usimama na mtu hawezi kusikia maumivu mpaka pale kiwango Cha dawa kitakapoisha ndipo mtu anaweza kuhisi maumivu.
3. Hii dawa inaweza kutumiwa na mtu yeyote ambaye Hana allergies na dawa hii lakini mtu kama ana allergies nayo hasitumie anaweza kutumia dawa nyingine kama vile dawa ambazo zipo kwenye kundi la ester ambazo ni procaine and cocaine au anaweza kututumia prilocaine badala ya lignocaine lakini wasio na shida ya lignocaine wanaweza kutumia dawa hiyo kwa sababu ndo inatumika sana na inapatikana kwa urahisi kuliko dawa nyingine kambazi utumika kwenye operation ya sehemu husika.
4. Pamoja na matumizi ya dawa hii ya lignocaine Kuna maudhi madogo madogo kwa Sababu ya matokeo ya dawa, ni kama vile kutojielewa kwa mgonjwa hali hii utokea zaidi iwapo kiwango Cha dawa kimekuwa kingi kuliko kawaida, kuwa na ganzi kwa sehemu husika kutotumia kwa mgonjwa kutotulia kwa mgonjwa pengine mgonjwa anaweza kupata degedege Ila hii utokea kama dawa iliyochomwa kwa Mgonjwa ni nyingi na pengine mgonjwa anaweza kuzimia, kwa hiyo hii ni dawa ambayo utolewa hospitalini sio kuitumia pasipo na uangalizi wa wataalamu wa afya.
5. Kwa hiyo hii dawa ni muhimu mgonjwa haipate akiwa hospitalini kw sababu Kuna watu wanajifanywa anajua ukiitumia vijijibi mtu anaweza kupata shida wahi hospitalini kwa ajili ya matatizo makubwa zaigi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole ni mojawapo ya dawa ambazo usaidia kutibu minyoo, na pia imefanikiwa sana kadri ya watumiaji wa dawa hiyo.
Soma Zaidi...Albenza (albendazole) hutumika kutibu magonjwa ya minyoo ya ndani ikiwa ni pamoja na maambukizi ya minyoo ya tegu. Albenza inafanya kazi kukomesha kuenea kwa maambukizo ya minyoo kwenye chanzo, na kukata chanzo chao cha nishati, na hivyo kuzuia kuenea k
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole katika kutibu Minyoo, ni Aina mojawapo ya dawa ambayo usaidia kutibu Minyoo inayosababishwa na bakteria mbalimbali.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya furosemide ni mojawapo ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la diuretics na kwa jina linguine huitwa lasix
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Prednisone ambayo usaidia katika kupambana na aleji.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za dawa za NMN maana yake ni Nicotinamide mononucleotide ni dawa ambazo usaidia kutibu magonjwa mbalimbali kama vile.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya ALU ila kwa jina jingine huitwa dawa ya mseto,ni aina ya dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria ya kawaida.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.
Soma Zaidi...Dawa za vidonda vya tumbo na tiba zake zinapatikana hapa. Soma makala hii kwa ufanisi
Soma Zaidi...