Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera.
Namna ya kuzuia ugonjwa wa kipindupindu.
Ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria ambaye uingia kwenye utumbo na kusababisha madhara kama vile kuharisha na kitapika zifuatazo ni njia za kuzuia kipindupindu..
1. Kuchemsha maji na kuyachuja, tunajua kuwa wadudu wengi ukaa kwenye maji na ukinywa maji hayo vidudu uingia kwenye mmengenyo wa chakula na kusababisha madhara kwa hiyo mtu huanza kuharisha,kwa hiyo tunapaswa kuchemsha maji Ili tuweze kuua hao wadudu.
2. Kunawa mikono kwa sabuni na maji baada ya kutoka choo, maana tukiwa chooni huwa tunagusa sehemu mbalimbali ambazo ni chafu na tubabeba wadudu tukishika chakula bila kunawa mikono tunakula hao wadudu na kusababisha madhara ya tumbo.
3. Nawa mikono kabla ya kuandaa chakula.
Wakati wa kuandaa chakula tunapaswa kunawa mikono kwa sababu Ili tuepuke kuweka wadudu kwenye chakula na kusababisha madhara kwa wengine ambao tunawaandalia chakula, kwa hiyo kabla ya kuandaa chakula tunapaswa kunawa mikono.
4.Epuka kula vyakula ambavyo havijaiva vizuri.
Kuna watu wengine ambao upenda kula vyakula ambavyo havijapikwa vizuri, vyakula hivyo pengine uwa na wadudu,kama hajaungua wanaoingia mwilini na kusababisha madhara makubwa ya kuharibika na kutapika,kwa hiyo tunapaswa kupika vyakula mpaka viive ndipo tuvitumie.
5. Osha matunda kwa maji Safi kabla ya kuyatumi.
Kabla ya kuandaa matunda inabidi yaoshwe vizuri, maana wadudu wengi upitia kwenye matunda na kuacha mazari ambayo usababisha madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo matunda yakitumika bila kuishiwa vizuri.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maumivu makali , kuna wakati mwingine mgonjwa anapata maumivu makali ya viungo na dawa mbalimbali uweza kutolewa kwa mgonjwa huyo lakini matokeo yake huwa ni kuendelea kwa maumivu kwa hiyo yafuatayo ni matokeo ya maumivu
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza sababu zinazowezabkuorlekea kibofu kuuma upande mmoja
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...upungufu wa damu wa madini ya chuma ni aina ya kawaida ya upungufu wa damu hali ambayo damu haina chembe nyekundu za damu zenye afya. Seli nyekundu za damu hubeba oksijeni kwa tishu za mwili. Bila chuma cha kutosha, mwili wako hauwezi kutoa dutu ya k
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia na namna ya kumhudumia aliyeingiwa na nyoka. Nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na mtu akifinywa na nyoka asipohudumiwa anaweza kupata ulemavu au kupoteza maisha
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi viwango vitatu vya kuungua. Ili tuweze kujua mtu ameunguaje Kuna viwango vitatu vya kujua kiasi na namna mtu alivyoungua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...