Mbinu za kuondoa sumu mwilini.
Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuondoa sumu mwilini, ni njia mbalimbali ambazo uweza kutumika ili kuondoa sumu mwilini.
Njia za kuondoa sumu mwilini.
1.Kwa sababu ya vyakuy mbalimbali ambayo vinatumika kama bila chips, baga, vyakula vya kwanye Makopo na mambo mengine kama hayo Usababisha kuwepo kwa sumu nyingi mwilini kwa hiyo tunapaswa kuondoa sumu hiyo kwa kufanya yafuatayo.
2. Matumizi ya vyakula vya acid na pia kutumia vyakula vya kuchemsha kwa wingi, vyakula hivi vinakua haviy mafuta .
3. Unywaji wa maji kwa wingi.
Kwa kutumia kiwango kikubwa cha maji sumu inaweza kuondoka mwilini na kusababisha kupungua kwa sumu mwilini.
4. Kufanya mazoezi.
Mazoezi yakifanyika kwa wingi umfanya mtu kutoa jasho ili jasho ni kama sumu ambayo ilikuwa iko mwilini kwa hiyo mtu akifanya mazoezi anaweza kuondoa kiwango kikubwa cha sumu mwilini.
5. Kupunguza matumizi ya mafuta.
Kwa kawaida tunajua wazi kuwa mafuta ni kitu kimojawapo ambacho kinasababisha mafuta mwilini kuongezeka kwa hiyo ni vizuri kupunguza matumizi ya mafuta kwenye vyakula.
6. Kula vyakula vya nyuzinyuzi.
Kama vile parachichi, ndizi, peazi, karoti na pili pili.
7. Matumizi mazuri ya hewa safi na kutambua baadhi ya bidhaa unazozitumia.
8. Epuka matumizi ya vyombo vya plastiki na vile vile matumizi ya pombe kali.
9. Matumizi ya dawa yawe ya uangalizi na pia fanya Masaji kama inawezekana.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 web hosting 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Vipimo vya kuchunguza kama una asidi nyingi tumboni
Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Namna ya kumfanyia usafi Mgonjwa kwa mwili mzima.
Posti hii inahusu namna ya kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima, ni njia ambazo utumika kumfanyia mgonjwa usafi mwili mzima au kumwosha Mgonjwa hasa wale walio mahututi na hawawezi kuamka kitandani.
Soma Zaidi...binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?
Natak kufaham kuwa binadam akiwa mweupe mikononi atakuwa na upungufu wa vitamin gani?
Soma Zaidi...Zijue kazi za ovari
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.
Soma Zaidi...