Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo
Aina ya ajali kwenye kichwa
1. Ajali inayotokea kwenye sehemu ya juu ya kichwa
2. Ajali inayotokea kwenye mifupa ya kichwa
3. Ajali inayotokea kwenye ubongo yaan ndani kabisa mwa kichwa
Dalili za mgonjwa aliyepata ajali ya kichwa
1. Maumivu makali
2. Msukumo wa damu unaongezeka
3. Macho kushindwa kuona vizuri
4. Mshutuko
5. Kutoka na usaha puani
6. Kupumua kwa shida
Namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepata ajali ya kichwa
1. Mfunge mgonjwa Ili kuepusha kichwa kuchezacheza
2. Fungus hewa kama mtu hapumui vizuri
3. Mlaze positioni nzuri ambavyo kwa kitaalamu inaitwa spine position
4. Hakikisha unazuia damu isitoke, kama inatoka hakikisha unamfunga mgonjwa vizuri
Baada ya hapo mpelekee mgonjwa hospitalini kwa msaada zaidi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya fati na mafuta
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu, kama mtu amepoteza fahamu Kuna mambo muhimu yanapaswa kuangaliwa kwa makini kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Dalili za mimba zinaweza kuwa tata sana kuzijua mpaka upate vipimo. Kwa mfano unaweza kupatwa na maumivu yakibofu. Je unadhani nayo ni dalili ya mimba?
Soma Zaidi...Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kumsaidia aliyeumwa na nyoka
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kutumia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda, ni njia muhimu ambazo ni lazima kuzipitia unapotaka kumwosha Mgonjwa vidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa aliyeungua
Soma Zaidi...