Posti hii inahusu zaidi mbinu ambazo hutumika kuponyesha majeraha kwa haraka zaidi,tunajua majereha utokana na kupona kwa vile vidonda au kupona kwa sehemu ambayo imekuwa na majeraha kwa hiyo ili kuponyesha majeraha hayo tunapaswa kufanya yafuatayo.
Mbinu za kuponyesha majeraha.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kutumia mlo kamili.
Mlo kamili ambao una kila aina ya virutubisho vya kutosha mwilini kwa kufanya hivyo majereha hatapona haraka kuliko kutumia vyakula visivyofaa au visivyokuwa na mpangilio maalumu. Kwa hiyo tujue kwa uhakika kuwa chakula ni dawa.
2. Kupumzika kwa mda wa kutosha.
Tunajua wazi kuwa mtu anapopumzika anafanya mwili kuweza kujitengeneza kwa mda, kwa hiyo mtu aliyepata tatizo la namna hii anapaswa kupumzika kwa muda wa kutosha ili kuupatia mwili mda wa kuweza kujitengeneza kwa mda.
3. Vile vile mgonjwa anapaswa kufuata mashariti ya wataalamu wa afya. Kwa kufanya hivyo mgonjwa ataweza kupona kwa urahisi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kuwa mashariti yanafuatwa kwa ukaribu zaidi na kwa mda wa kutosha.
4. Pia mgonjwa anapaswa kunywa maji ya kutosha kwa kufanya hivyo ataweza kuruhusu uchafu wowote kutoka kwenye mwili na kuruhusu mwili kujitengeneza kwa upya kwa sababu maji ufanya mwili uwe na mwororo na wa kuvutia sana.
5. Kuoga kwa maji ya baridi.
Tunaelewa wazi faida za maji ya baridi kwa hiyo tunapaswa kuyatumia ili kuweza kufanya ngozi ya mwili kurudia kwenye hali yake ya kawaida.kws kufanya hivyo tutaweza kuponyesha ngozi na majereha hatapona haraka.
6. Kwa hiyo tunaona wazi kwamba kuna wakati mwingine majereha Upata mtu kwenye sehemu mbaya yaani ya usoni hali ambayo ufanya watu kujihisi vibaya kwa kufanya hayo ambayo tumeyaona tutaweza kuponyesha majeraha mapema na maisha yataendelea kama kawaida.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo utolewa kwa watu wanaodhani wamepatwa na maambukizi ya virus vya ukimwi.
Soma Zaidi...Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza ni huduma inayotolewa kwa mtu yeyote aliyepata ajali au mgonjwa yeyote kabla hajapelekwa hospitalini
Soma Zaidi...Unadhanivkufanya kazi kunaweza kukusababishia maradhi ama mwili kudhoofu, ama kukonda. Umeshawahivkujiuliza wanao nenepa huwa hawafanyi kazi?
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa aliyeungua
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...