Post hii inahusu zaidi mishipa inayosafilisha damu mwilni, ni Aina tatu za mishipa ambazo usafilisha damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
Aina za mishipa inayosafilisha damu mwilni
1. Mishipa inayosafilisha damu Safi,
Hii ni Aina ya mishipa inayosafilisha damu kutoka kwenye moyo kwenda sehemu mbalimbali za mwili, kwa kitaalamu huitwa (Arteries).
2.Mishipa inayosafilisha damu chafu kutoka kwenye mwili mpaka kwenyemapafu kwa ajili ya kusafisha au kupata Oxgeni
Hii ni Aina ya mishipa ambayo ubeba damu chafu kutoka sehemu mbalimbali k za mwili mpaka kwenye moyo Ili kupata Oxgeni kwa kitaalamu huitwa (Veins)
3.Mishipa midogo midogo sana iliyoenea kwenye mwili
Hii ni Aina ya mishipa ambayo ubeba damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili kwa kawaida ni midogo sana ,kwa kitaalamu huitwa (Capillaries)
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekazwa na misuli
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa asidi iliyo kwenye tumbo kwa kitaalamu huitwa HCL, ni asidi inayofanya kazi nyingi hasa wakati wa kumengenya chakula.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Soma Zaidi...maumivu ya kichwa ni moja ya dalili za kiafya ambazo huashiria hali isiyo ya kawaida. hata hivyo maumivu ya kichwa yanaweza kutokea hata kama sio mgonjwa. Hapa nitakuletea sababu zinazopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara.Maumivu
Soma Zaidi...