Fahamu kuhusu kizunguzungu

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kizungu Zungu ni tatizo ambalo utokea kwa watu mbalimbali na kwa sababu tofauti tofauti na pengine mtu akipata kizungu sehemu mbaya anaweza kusababisha majeraha au pengine kupata ulemavu

Fahamu kuhusu kizunguzungu.

1. Pia kuna sababu mbalimbali za kuwepo kwa kizungu Zungu, pengine mtu anaweza kuwa amesimama kwa mda mrefu na damu inashindwa kusafiri sehemu mbalimbali za mwili hali ambayo Usababisha kuwepo kwa kizungu Zungu.

 

2. Pengine ni kwa sababu ya kuwepo kwa ugonjwa fulani kama vile Malaria ambayo haujatibiwa nayo Usababisha kizunguzungu.

 

3. Sababu nyingine ni matumizi ya madawa.

 Kuna wakati watu wanatumia madawa makali na hawali na wenyewe upatwa na tatizo hili.

 

4. Kutoshika au kutokula kwa mda mrefu.

Kuna watu ambao utumia mda mwingi bila kula na hao pia usababisha kuwepo kwa kizungu Zungu.

 

5. Kuwepo kwa shinikizo la damu la ghafla.

Kuna wakati mtu mwingine anakuwa na shinikizo la damu bila kujua na anapatiwa na kuzungu Zungu.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/22/Friday - 07:18:48 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1222


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-