Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.
Mambo yanayopelekea mwanaume kukosa uzazi.
1. Maambukizi kwenye via vya uzazi , matumizi mabaya ya ngono zembe, hali hii utokea kwa sababu wadudu wakiingia kwenye via vya uzazi uharibifu kila kitu hasa mazalia ya mbengu na sehemu zinapitunzw kwa hiyo mbegu utoka huko zikiwa dhaifu na kushindwa kurutubisha yai kwa hiyo tunapaswa kutibu maambukizi ili kuepuka janga la ugumba.
2. Kutumia sana vileo kama vile bangi hasa marijuana, pombe kali sana, kuvuta sigara na mambo ya vileo vikali hali huu usababisha mbegu kushindwa kukomaa au vileo hivi uingilia sehemu za kuzalisha mbegu na mbegu hushindwa kukomaa kw hiyo kitendo cha kurutubisha yai huwa kugumu sana, kwa hiyo tunapaswa kuwaambia vijana ukweli hili waache tabia ya kuvuta bangi na vileo vikali ili kuepukana janga la ugumba.
3. Kutumia baadhi ya madawa kwa mda mrefu, kuna madawa ambayo yakitumika kwa mda mrefu usababisha kuaribika kwa mfumo wa kutengeneza uzazi kwa wanaume kwa mfano madawa yanayotumiwa na wagonjwa wa akili yakitumika kwa mda mrefu usababisha matatizo kwenye via vya uzazi kwa wanaume na hatimaye ugumba.
4. Magonjwa sugu yanapotokea kwa mda mrefu kama vile shinikizo la damu na presha. Kuna watoto wanaoza liwa na magonjwa haya au wengine utapata mapema , Magonjwa haya nayo usababisha kuaribika kwa mfumo wa uzazi na hatimaye ugumba kwa hiyo tunapaswa kuepuka na kuwasaidia watoto wetu kuepuka Magonjwa haya kwa nyakati za mwanzoni.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya tetracycline katika kupambana na bakteria,ni mojawapo ya antibiotics au anti bacteria ambayo upambana na bakteria kama tutakavyoona hapo mbeleni.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...