Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Faida za kiafya za kula kabichi
1. kabichi lina virutubisho kama protini, vitamini K, A, B6 na C. pia lina madini ya chuma, calcium na magnesium.
2. Husaidia katika kupunguza mashambulizi ya mara kwa mara ya bakteria, virusi na fanasi
3. Husaidia katika kupona kwa haraka kwa majeraha
4. Husaidia kupunguza uharibifu wa seli dhidi ya kemikali mbaya
5. Huboresha afya ya mifupa, misuli na mishipa ya damu
6. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani
7. Huboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuzuia kukosa haja
8. Hufanya moyo wako uwe katika afya njema
9. Hushusha presha ya damu
10. Hushusha kiwango cha cholesterol
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana na historia ya vitamin C
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako
Soma Zaidi...Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari
Soma Zaidi...