Posti hii inahusu zaidi Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini, ni Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini ambao usababisha madhara kama ifuatavyo.
Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini.
1.Upungufu wa madini ya Shaba mwilini usababisha kupungua kwa kiwango kikubwa Cha damu mwilini, tunajua kuwa madini ya Shaba usaidia kutengeneza chembechembe za damu kwa hiyo upungufu wa madini ya Shaba ufanya damu kupungua mwilini.
2.Upungufu wa madini ya Shaba mwilini usababisha kupungua kwa nguvu ya mifupa kwenye mwili,kwa sababu tunajua kuwa kazi ya madini ya Shaba mwilini ni kuimarisha mifupa,kwa hiyo Ukosefu wa madini ya Shaba usababisha mifupa kulegea na maumivu ya mgongo na kiuno uongezeka.
3.Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini usababisha kupungua kwa kinga mwilini, kwa maana pasipokuwa na madini ya Shaba mwilini kunakuwepo na Maambukizi mbalimbali kwenye mwili kwa sababu kinga ya mwili upungua.
4.Upungufu wa Madini ya Shaba mwilini usababisha matatizo mbalimbali kwenye ubongo, moyo na nerve kwa sababu madini ya Shaba ya nakuwepo kwa kiwango kikubwa kwenye moyo, nerve na ubongo, tunajua kazi kubwa za hizi ogani ni kubwa mno.
5.Upungufu wa Madini ya Shaba usababisha maambukizi kwenye ngozi maana ulinzi wa maambukizi kwenye ngozi utegemea na madini ya Shaba,
Kwa hiyo madini ya Shaba mwilini yanapaswa kuwa sawia Ili kuleta ufanisi mkubwa katika shughuli mbalimbali za mwili.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kuchaguwa vinywaji si jambo rahisi, lakini inabidi iwe hivyo kama una tatizo la kisukari. Je unasumbuka kujuwa vinywaji salama? makala hii ni kwa ajili yako, hapa tutaona vinywaji ambavyo ni salama kwa mwenye kisukari.
Soma Zaidi...Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi za madini ya chuma mwilini,Ni madini ambayo ufanya kazi mbalimbali mwilini na pia utokana na vyakula mbalimbali ambavyo upatikana kwenye wanyama na mimea. Zifuatazo ni kazi za madini ya chuma.
Soma Zaidi...