Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni
Faida za kiafya za kula Zaituni
1. zaituni lina virutubisho kama protini, sukari, fati, pia lina vitamini E, madini ya chuma, shaba, calcium na sodium
2. Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani na mashambulizi ya vimelea vya maradhi
3. Huboresha afya ya moyo
4. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
5. Husaidia katika kudhibiti fati kwenye damu
6. Hususha presha ya damu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula miwa
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka
Soma Zaidi...