Nanasi ni katika matunda matamu lakini mazuri pia kiafya, je unazijuwa faida zake kiafya
2.Nanasi (pineplea)
Hili ni katika matunda yanayopatika na sana kwenye uoto wa kitropik. Tunda hili ni katika matunda yenye virutubisho vingi kuliko matunda mengi sana yanayopatikana katika maeneo yenye uoto huu. Kwa mfano kikombe kimoja cha nanasi (mililita 237) kinatosheleza uhitaji wa mwili wa vitamini C kwa siku nzima na asilimia 76 ya madini ya manganese.
Nanasi pia lina bromelain huu ni mchanganyiko wa enzymes ambayo inajulikana kwa kudhibiti uvimbe na kuwa na uwezo wa kumengβenya protini mwilini. Tafiti nyingi za kisayansi zimeonesha kuwa bromelain husaidia kuzuia mwili kupata maradhi ya saratani na uvimbe amao ni katika viashiria vya saratani.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Soma Zaidi...Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini
Soma Zaidi...Je! unatambuwa madhara ya vyakula vya protini na mafuta? ungana nasi kwenye somo hili
Soma Zaidi...