Faida za kiafya za kula Karoti

Faida za karoti
- karoti ina virutubisho kama sukari, fati, protini, vitamini A, B, K na madini ya potassium.
- Hupunguza hatari ya kupata saratani
- Hususha cholesterol
- Husaidia kupunguza uzito
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Husaidia kudhibiti ugonjwa wa kisukari
- Husaidia kulinda na muimarisha afya ya moyo na mishipa ya moyo
- Husaidia kuboresha na kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
- Karoti ni nzuri kwa afya ya mifupa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga
Soma Zaidi...Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Faida za kula Papai
Okoa afya yako kwa kula tunda papai, kwa hakika hutajuta, papai lina virutubisho vingi
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha
Post hii itakwenda kukufundisha vyakula ambavyo ni vizuri kwa mwanamke anayenyonyesha ili kumsaidia kupata maziwa kwa wingi.
Soma Zaidi...