Fahamu siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba.
Posti hii inahusu zaidi siku za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba , tunapaswa kujua hivi Ili kuweza kupanga uzazi na kuepuka njia ambazo ni hatarishi kwa afya zetu.
Njia za kubeba mimba na zisizo za kubeba mimba.
1. Kwanza kabisa kunapaswa kuwepo na makubaliano kati ya mwanamke na mwanaume Ili kutumia njia hii , kwa kufanya hivyo njia hii itaweza kuleta faida kubwa kwa mwanamke na mwanaume.
2. Siku ya kwanza mpaka ya kumi ni siku salama kabisa , Ina maana siku ya kwanza kuingia hedhi ndipo unaanza kuhesabu mpaka siku kumi.
3. Kuanzia siku ya kumi na moja mpaka siku ya nane usithubutu kujamiiana ni siku mbaya kabisa au kama unataka kubeba mimba ndizo siku nzuri.hasa siku ya kumi na mbili mpaka kumi na sita ni hatarishi.
4. Kuanzia siku ya kumi na tisa mpaka siku ya ishilini na nane ni siku nzuri na hakuna kubeba mimba yoyote hapo.
5.ila kuja kutumia njia hizi ni kujua una mzunguko wa siku ngapi? Ni ishilini na Moja, ishilini na nane, thelathini au thelathini na mbili inategemea na mzunguko wako
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake
Soma Zaidi...Nia za kupima ujauzito ukiwa nyumbani, Njia kuu 10 za kiasili za kupima mimba changa
Kuna njia nyingi zinatajwa zinapima mimba kama chumvi, sukari, mafuta na sabuni. Hata hivyo zipo njia zaidi ya 10 za kiasili za kupima ujauzito. Utajifunza hapa zote
Soma Zaidi...Je chuchu zikiwa nyeusi Nini kinasababisha,, kando ya kuwa mjamzito? Na Kama sio mjamzito sababu ya chuchu kua nyeusi ni nini
Chuchu kubadilika range ni mojavkatika mabadiliko ambayo huwapa shoka wengi katika wasichana. Lucinda nikwambie tu kuwa katika hali ya kawaida hilo sio tatizo kiafya.
Soma Zaidi...Dalili za mimba inayotishi kutoka
Posti hii inahusu zaidi dalili za mimba inayotaka kutoka yenyewe, Kuna wakati mwingine mama anabeba mimba na mimba hiyo I atishia kutoka na huwa inaonyesha dalili mbalimbali kwa hiyo zifuatazo ni dalili za mimba kutaka kutoka yenyewe.
Soma Zaidi...je ute wa uzazi uanza kuonekana siku ya 14 tu au kabla ? Na je mimba ya siku tatu inaweza kucheza?
Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu za siri ni katika baadhi ya dalili. Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
Soma Zaidi...Dalili za mimba changa
Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
Soma Zaidi...