Vyakula vinavyosaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone

Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo usaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone.

Vyakula vinavyosaidia kuzalisha kwa homoni ya testosterone.

1. Matunda.

Aina mbalimbali za matunda kama vile, parachichi,ndizi,koma manga na tiki tiki maji.

 

 

2. Mboga za majani.

Mboga za majani kama vile spinach,braccoli,

 

 

 

3. Viungo.

Kuna viungo mbalimbali kama vile.karafuu, iriki, na kitunguu thaumu.

 

 

4. Mbegu.

Kuna mbegu mbalimbali ambazo usaidia katika uzalishaji wa homoni ya testosterone kama vile karanga, mbegu za maboga na kurosho.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/16/Saturday - 03:21:44 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2707


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-