Posti hii inahusu zaidi sababu za kushindwa kuzalishwa mayai kwa mwanamke, ni tatizo ambalo utokea kwa mwanamke ambapo mwanamke anashindwa kuzalisha mayai.
Sababu za mwanamke kushindwa kuzalisha mayai.
1. Matatizo ya homoni
Homoni ni tatizo bmojawapo ambalo uchangiwa mwanamke nkuzalisha mayai kwa sababu pengine bhomoni uvunja mpangilia kabisa wa kuzalishwa kwa mayai au pengine mpangilio mbaya wa homoni usababisha mayai ambayo yatazalishwa huwa hatyajakomaa, kwa hiyo hali hii usababisha mwanamke kushindwa kuzalisha mayai ambayo yana uwezo wa kuungua na mbegu na kupata mtoto.รขโฌโน
2. Kuwepo kwa majeraha na makovu
Kuwepo kwa majeraha kwenye ovari usababisha mwanamke kushindwa kuzalisha mayai kwa wakati mwingine hali hii utokea kwa sababu ya upasuaji wa mara kwa mara inayotokea kwenye sehemu mbalimbali za ovari na usababisha kushindwa kutengenezwa kwa mayai kwenye ovary kwa hiyo wakati wa upasuaji umakini inahitajika Ili kuweza kuepuka madhara ya mayai kushindwa kuzalishwa.
3.Kukomaa kwa hedhi mapema.
Hili ni tatizo ambalo utokea kwa wanawake ambao wanakaa mda mrefu bila kuzaa wakiwa katika shughuli mbalimbali za maisha kama vile kusoma na kwa wakati mwingine hedhi zao ukoma mapema ikiwa na maana kuwa mayai yanakuwa yameisha hali ambayo upelekea kutokuwepo kwa mayai kwa mwanamke.
4.Matatizo ya folicle .
Kuwepo kwa Matatizo kwenye follicle usababisha mayai kushindwa kuzalishwa kwa sababu kwenye follicle ndimo mayai huzalisha na kukomaa na baadae mayai utolewa wakati wa urutubishwaji, Kuna wakati mwingine follicle zinashindwa kupasuka na kutoa mayai kwa hiyo follicle baada ya kupasuka Ili kuachia yai zinavimba na mayai yake hali hii usababisha mayai kushindwa kuzalishwa
5.Magonjwa mbalimbali.
Kuna magonjwa mbalimbali kwenye ovary ambayo mengine usababishwa na magonjwa ya zinaa ambayo usababisha maambukizi kwenye ovari na hatimaye ovary inashindwa kuzalisha mayai kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye ovari.sa
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Chuchu kubadilika range ni mojavkatika mabadiliko ambayo huwapa shoka wengi katika wasichana. Lucinda nikwambie tu kuwa katika hali ya kawaida hilo sio tatizo kiafya.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dalili za mimba kuanzia week mbili Hadi mwezi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mtu anaweza kupata ikiwa homoni ya estrogen imeongezeka, hizi dalili zikitokea mama anapaswa kuwahi hospital ili kuweza kupata matibabu au ushauri zaidi.
Soma Zaidi...Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA.
Soma Zaidi...