Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.
Mabadiliko yanayotokea kwenye Matiti kwa Mama mjamzito.
1. Kiwango Cha damu kusafiri kwenye Matiti uongezeka, Ili kuweza kuanzisha kuzalisha kwa Maziwa kiasi Cha kuongezeka kwa kiwango Cha damu kwenye Matiti usaidiwa na homoni mbili ambazo ni progesterone na oestrogen hii ni kwa sababu ya kuandaliwa kwa kutengenezwa kwa Maziwa.
2. Katika wiki ya tatu mpaka ya nne Kuna miwasho fulani inayotokea kwenye sehemu za Matiti hii ni kwa sababu ya kuongeza kwa kiwango Cha damu kwenye Matiti, na wiki ya sita mpaka ya nane Kuna kuongezeka kwa ukubwa wa Matiti na maumivu kwenye Matiti uanza kujitokeza kwa sababu ya kuongeza kwa kiwango kwa Matiti na mishipa ya veini uanza kuonekana juu ya ngozi
3. Kuanzia wiki ya nane mpaka Kumi na mbili gland uanza kuzalisha sebum ambazo ufanya chuchu za Matiti kuwa na ulaini kwa ajili ya maandalizi ya kumnyonyesha mtoto, na kwa kipindi kingine chuchu uanza kuwa nyeusi kwa Sababu ya maandalizi ya kumnyonyesha mtoto.
4. Katika wiki za mwisho ambazo ni kuanzia wiki ya thelathini na nane na kuendelea majimaji ya njano uanza kujitokeza kwenye Matiti ambayo baadae mtoto akizaliwa ndiyo maziwa ambayo utumiwa na mtoto, kwa hiyo Iwapo Mama akiona maziwa kama haya hasiogope ajue kuwa ni kawaida kwa Maziwa ya Aina hii kutokea.
5. Matiti kuvimba kuliko kawaida
Kwa Mama mjamzito Matiti uongezeka kuliko kawaida kwa sababu ya matengenezo ya maziwa na kwa sababu ya kuongezeka kwa pressure kwenye Matiti, na pia kuongezeka kwa virutubisho kwenye Matiti kwa ajili ya mtoto.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo anaweza kuzipata mwenye Ugonjwa wa tezi dume, sio Dalili zote mtu anaweza kuzipata kwa sababu dalili kama hizi zinaweza kujitokeza hata kwa magonjwa mengine.
Soma Zaidi...Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu za siri ni katika baadhi ya dalili. Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
Soma Zaidi...Maumivu ya matiti ni malalamiko ya kawaida miongoni mwa wanawake yanaweza kujumuisha uchungu wa matiti, maumivu makali ya kuungua au kubana kwenye tishu zako za matiti. Maumivu yanaweza kuwa ya mara kwa mara au yanaweza kutokea mara kwa mara tu. Maumiv
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa maziwa kwa akina Mama wakati wa ujauzito ni kawaida kwa sababu ya kuzaliwa kwa homoni ambayo usaidia kutoa maziwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni. Ni maji ambayo kwa kitaalamu huitwa (Amniotic fluid)
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hypertension huweza kuzumbuwa watu kwa jinsia zote, na umri wote. Wajawazito pia wamekuwa wakisumbuliwa na presha hii mara kwa mara.
Soma Zaidi...