Post hii inahusu dawa ya kaoline katika kutibu au kuzuia kuharisha ni dawa ambayo imependekezwa kutumiwa hasa kwa wale walioshindwa kutumia dawa ya loperamide.
Dawa ya kuzuia kuharisha.
1. Dawa hii ya kaoline inazuia kuharisha kwa sababu ya kuwepo kwa vitu mbalimbali kwenye dawa hiyo ambavyo ni pectin, chalk, charcoal, methyl cellulose na magnesium aluminum silicate kutokana na mchanganyiko huo usaidia sana mtu anayeharisha.
2. Dawa hii kwa wingi upitia kwenye mmengenyo wa chakula na kusaidia kufyonza wadudu pamoja na sumu inayosababisha mtu kuharisha na baada ya kufanikiwa kuwatoa hao wadudu na sumu hali ya mgonjwa huwa kawaida.
3. Na pia dawa hii utumika kwa watu mbalimbali ila wake wenye aleji na dawa hii hawapaswi kuitumia na pia dawa hii huwa na maudhi madogo madogo kama vile maumivu ya kichwa na kizunguzungu.
4. Na pia inapaswa kutumiwa kulingana na wataalamu wa afya sio kuitumia kiholela Bali utumika kulingana na utaratibu na maelekezo yanavyopaswa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi homoni mbalimbali ambazo upambana na kansa, hizi homoni zikitumika vizuri matokeo yake huwa na mazuri pia kwa wagonjwa wa kansa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa zinazosaidis katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii kwa kitaamu huiitwa chlorpromazine ni dawa ambayo utumiwa na watu wenye tatizo la magonjwa ya akili na kwa kiasi kikubwa huwa sawa.
Soma Zaidi...PID ni mashambulizi ya bakteria kwenye mfumo wa uzazi kwa wanawake. Hapa nitakujulisha dawa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa.
Soma Zaidi...Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Soma Zaidi...Nitakujuza dawa ya kutibu vidonda vya tumbo, na kutibu vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...