Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu tiba ya minyoo
TIBA YA MINYOO
Moja katika sifa za minyoo ni kuwa wanatibika kwa urahisi pindi mgonjwa akipewa dawa husika. Minyoo hawa wanauliwa kwa dawa, kisha wanatolewa nje ya mwili. Ni mara chache sana minyoo hawa wanavamia sehemu nyingine za mwili na hivyo tiba sahihi ni kufanyiwa upasuaji.
Tiba ya minyoo hawa pia inategemea ni aina gani ya minyoo ambao mgonjwa anao. Kwani kila aina ya minyoo hawa ina sifa zake na hivyo dawa zao zinaweza kutofautiana. Mgonjwa asikurupuke kwenda duka la madawa kununua dawa za minyoo bila ya kujua aina za minyoo alio nao.
Kwa mfano:-
minyoo aina ya tapeworm wanaweza kutibika kwa vidonge kama praziquantel (biltricide)
Minyoo aina ya roundworm wanaweza kutibika kwa mebendazole (vermox, emverm) na albendazole (albenza).
Ni vyema mgonjwa kwenda kituo cha afya akaonane na daktari ili aweze kumthibitishia tiba inayofanana na tatizo lake
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine.
Soma Zaidi...Dawa za vidonda vya tumbo na tiba zake zinapatikana hapa. Soma makala hii kwa ufanisi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli.
Soma Zaidi...PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya furosemide ni mojawapo ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la diuretics na kwa jina linguine huitwa lasix
Soma Zaidi...