Posti hii inahusu zaidi njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake, hii njia dawa umengenywa kwenye tumbo na kupitia kwenye utumbo mdogo na baadae kwenye damu,
Njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake.
1. Kuweka dawa chini ya ulimi na kusubili mpaka iyeyuke hii njia kwa kitaalamu huitwa sublingual route baadae dawa upitis kwenye utumbo mdogo baadae kwenye damu.
2. Kumengenya dawa pasipo kutumia maji, hii ni njia ambapo dawa utafunwa hasahasa dawa za minyoo
3. Dawa za kuweka kwenye mkundu, ni dawa ambazo uwekwa kwenye mkundu , hasahasa utumiwa na watoto wenye degedege na Maambukizi kwenye mkundu.
4. Dawa ambazo uwekwa katikati ya gamu na cheek,hizi na dawa ambazo utumiwa na watu wenye maambukizi kwenye mdomo hahaha fungasi ambapo dawa uwekwa mdomoni
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi antibiotics ya asili, ni antibiotics inayotumia vitu vya kila siku na ya kawaida na mtu akaweza kupona kabisa na kufanya kazi kama antibiotics ya vidonge vya kawaida.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa hydrocortisone kwa kutuliza aleji au mzio, kwa kawaida Kuna mda mtu anapotumia dawa Fulani anakuwa na mabadiliko mbalimbali kama vile kifua kubana , viupele na mambo kama hayo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mgawanyiko wa tiba ya kifua kikuu, kwa kawaida tiba hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili.
Soma Zaidi...Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...