Post hii inahusu zaidi dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na ugonjwa wa Kansa.
1. Dawa hizi mbili yaan cyclophosphamide na mustargen ni dawaa ambazo ziko kwenye group lmay kundi la alkylating, ni dawa ambazo usaidia kupambana na kansa ya kwenye matiti,na ma uvimbe ambayo Yako kwenye mwili kwa watoto na watu wazima pia,
2. Dawa hzi ufanya Kazi kwa kuuua seli za Kansa kwa kivamia nuclear ambayo Kwa kitaamu huiitwa DNA ambayo ni material , kwa hiyo kwa kuvamia nuclear usababisha au kuzuia kazi ya kuharibika kwa seli kupungua na ambazo zilizokuwa zimezalishwa tayari na haziitajiki uendelea kuisha taratibu na hatimaye hali ya mgonjwa upata unafuu.
3. Vile vile dawa hii utumiwa na watu mbalimbali ila Kuna ambao hawapaswi kutumia dawa hizi za cyclophosphamide na mustargen,ni wale wenye mzio au aleji na dawa hizi au ufuatana na utaratibu wa wataalamu wa afya wanaweza kumzuia mgonjwa asitumie dawa hii.
4. Pia dawa hizi baada ya kutumia uweza kuwa na maudhi madogo madogo kama vile, maumivu ya tumbo, kichefuchefu na kutapika, pengine mgonjwa anaweza kuwa au kupata choo kigumu, vile vile na kuwepo kwa vidonda midomo ambavyo usababishwa na kupungua kwa kinga ya mwili.
5. Pia mgonjwa anaweza kukosa hamu ya kula, kwa sababu dawa ambazo mgonjwa anatumia Zina nguvu sana hata kama Hana hamu ya kula ni lazima kumlazimisha Ili aweze kula na hakikisha anapata chakula anachokihitaji.
6. Pia kwa wagonjwa wanaotumia dawa hii za cyclophosphamide na mustargen wanaweza kupata shida ya kupungua kwa seli kwa sababu dawa hizi usaidia kuuua seli ambazo haziitajiki hatari ni kwamba na seli zinazohitajika kuuuawa na kusababisha kupungua kwa seli.
7. Kwa hiyo hatupaswi kuzitumia dawa hizi kiholela Bali utumika kulingana na wataalamu wa afya na pia mgonjwa anapaswa kuwa kwenye uangalizi maalumu wakati wa kutumia dawa hii.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Post hii inahusu zaidi dawa ya fluconazole ni dawa ya kutibu fangasi za aina au za sehemu mbalimbali,
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kifua kikuu ni dawa ambazo utumika kutibu kifua kikuu, kwanza kabisa kabla ya kuanza kufahamu dawa hizo ni vizuri kabisa kufahamu kifua kikuu nini hili kuweza pia kufahamu dawa zake.
Soma Zaidi...Utaijuwa Dawa ya maumivu ya jino, sababu za maumivu ya jino na njia za kujikinga na maumivu ya jino
Soma Zaidi...PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya isoniazid katika mapambano na kifua kikuu, tunafahamu kabisa kwamba kifua kikuu ni hatari katika jamii kwa hiyo dawa ya isoniazid ni mkombozi katika mapambano na kifua kikuu.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa ya kaoline katika kutibu au kuzuia kuharisha ni dawa ambayo imependekezwa kutumiwa hasa kwa wale walioshindwa kutumia dawa ya loperamide.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya Dapsone na kazi zake, hii ni dawa ambayo utumika katika kutibu ugonjwa wa ukimwi, dawa hii ufanya kazi kwa mchanganyiko wa dawa nyingine kama vile Rifampicin na clofaximine.
Soma Zaidi...