Dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na dawa ya maumivu ya hedhi
Dawa ya chango na dawa maumivu ya tumbo la hedhi.A.Ibuprofen (Advil, Motrin IB)B.Naproxen sodium (Aleve na Anaprox)C.Ketoprofen (Actron na Orudis KT)D.Mefenamic acid
Namna ya kukabiliana na tumbo la chango na maumivu ya tumbo la hedhi1.Fanya mazoezi ya mrakwa mara2.Hakikisha huna misongo ya mawazo3.Punguza kula vyakula vyenye chumvi sana pia punguza kula vitu vya sukari sana4.Punguza unywaji wa chai ya majani ya chai (caffein)5.Punguza vyakula vyenye mafuta ya wanyama kwa wingi kama nyama.
Dawa ya fangasi kwenye mdomo na ulimiFangasi wanaweza kuathiri sehemu yeyote kwenye ngozi ya mtu. Kuanzia vidole, kichwa, kwapa, sehemu za siri na mapajani. Hutokea fangasi wakaathiri mdomo na ulimi. Hapa hali inaweza kuwa mbaya pale mtu akishindwa kula. Bila shaka ni maumivu, lakini leo nitakwenda kukutajia tiba yake.
Nini sababu ya fangasi wa mdomo na ulimi?Fangasi hawa husababishwa na aina ya fangasi inayoitwa Candida albicans (C.albicans). hawa fangasi ni kawaida kupatikana kwenye mdomo. Kwa mtu ambaye kinga yake ipo imara hakuna shida yeyote anaweza kuipata kwa kuwa na fangasi hawa. Ila endapo watazidi kupitiliza ndipo inaweza kuleta shida.
Dalili za fangasi kwenye mdomo na ulimi1.Vijidoma vyeupe au njano kwenye shavu kwa ndani, finzi, midomo na kwenye ulimi2.Kuvuja kwa damu wa finzi3.Vidonda kwenye mdomo4.Kuhisi kama kuna pamba kwenye mdomo (vinyuzinyizi)5.Ukavu wa kona za mdomo pamoja na mipasuko6.Taabu katika kumeza7.Mdomo kuwa na ladha mbaya8.Kupotesa ladha ya unachokila.
Fangasi wa mdomoni wanaweza kuambukiza?Yes wanaweza kuambukizwa kwa mfano ukimkisi (denda) mtu anaweza kupata fangasi hawa kama na wewe unao.
Dawa ya fanasi kwenye mdomo na ulimi1.Fluconazole hiini ya kumeza2.Clotrimazole (Mycelex Troche) ni kidonge pia cha kumumunyikia mdomoni3.Nystatin (Nystop, Nyasta) ni ya kuosha mdomo4.Itraconazole (Sporanox) ni ya kumeza, hupewa wale wenye usugu ama wenye HIV5.Amphotericin B (AmBisome, Fungizone) hutumika kutibu hali mbaya zaidi ya fangasi wa mdomoni.
Nini ufanye ukiwa unatumia dawa hizi1.Piga mswaki kwa mswaki ulio mlaini2.Badili mswaki baada ya kumaliza dozi3.Usitumie dawa za kuosha mdomo mpaka daktari akuambie.4.Osha mdomo kwa maji ya chumvi5.Changanya maji na juisi ya limao kisha knywa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Penicillin dawa ya kutibu maambukizi ya bakteria mwilini
Post hii Inahusu zaidi dawa za kutibu maambukizi yoyote Yale yanayosababishwa na bakteria dawa hizi kwa kitaamu huiitwa antibiotics Kuna dawa mbalimbali zinazotibu maambukizi ya bakteria leo tutaanza na dawa ambayo inaitwa penicillin.
Soma Zaidi...Nani anapaswa kutumia vidonge vya zamiconal.
Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi.
Soma Zaidi...Fahamu dawa za kutibu mafua
Post hii inahusu dawa za kutibu mafua ambazo ni cough seppessants na nasal congestion ni dawa ambazo zimependekezwa kwa ajili ya kutibu mafua.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa za kutibu minyoo
Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali za kutibu minyoo, tunafahamu kabisa minyoo ni ugonjwa ambao uwapata watu mbalimbali hasa watoto.
Soma Zaidi...Dawa ya kutibu minyoo
Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Dawa na matibabu ya presha ya kushuka
Hapa utajifuanza dalili za presha ya kushuka, na dawa ya presha ya kushuka na nJia za kuzuiaama kudhibiti presha ya kushuka
Soma Zaidi...