Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu au kutuliza maumivu, kwa majina huiitwa indomethacin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya Kawaida.
1. Hii pia ni mojawapo ya dawa ya kutibu maumivu kama ilivyo dawa ya paracetamol, aspirin na ibuprofen,pia dawa hii usaidia kutuliza maumivu ya Kawaida kama maumivu ya kichwa,tumbo na kadhhalika
2. Kwa kawaida dawa hii Iko kwenye muundo wa vidonge na Ina milligrams mia tano na utumiwa baada ya masaa manane pamoja na chakula. Ikitumika kwenye tumbo wazi inawezekana kuleta mkwaruzo kwenye tumbo unaoambatana na vidonda vya tumbo.
3 dawa hii utumiwa na watu wazima ila kwa watoto hairuhusiwi ila kwa maagizo ya wataalamu wa afya inawezekana kutumika.
4. Pia dawa hii Ina maudhi madogo madogo kama vile kutapika na kuharisha maumivu ya tumbo hasa kama mtumiaji ametumia pasipo chakula.
5. Dawa hii haiitumiki kiholela ila kwa maagizo ya wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali ambazo uchangia katika kupunguza nguvu za kiume , hii ni kwa sababu ya wataalamu mbalimbali wanavyosema
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ya kupitisha dawa kwenye mdomo na vipengele vyake, hii njia dawa umengenywa kwenye tumbo na kupitia kwenye utumbo mdogo na baadae kwenye damu,
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao
Soma Zaidi...MWISHO Mwisho tunapenda kusema kuwa unapohisi una minyoo kutokana na dalili ambazo tumezitaja humu, nenda kituo cha afya ukapate ushauri zaidi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na dawa ya maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...