Fahamu dawa za kutuliza magonjwa ya akili inayoitwa Chlorpromazine

Post hii inahusu zaidi dawa zinazosaidis katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii kwa kitaamu huiitwa chlorpromazine ni dawa ambayo utumiwa na watu wenye tatizo la magonjwa ya akili na kwa kiasi kikubwa huwa sawa.

Dawa za kutuliza magonjwa ya akili .'

1. Dawa za kutuliza magonjwa ya akili ni nyingi leo tunaenda kuona dawa ya clorpromazine Katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii ufanya Kazi kwa kusaidia wagonjwa wa akili ambao hasa hasa Wana tatizo la kuwaza kwa mda mrefu yaani mawazo ya kila mara uwajia na kuwaza vitu ambayo hata kwa akili ya kibinadamu havipo,

 

2. Dawa hii kama tulivyotangulia kuona usaidia kutibu magonjwa ya ki akila ambao kwa kitaamu huiitwa schizophrenia ugonjwa huu usababisha mtu kuwa kwenye mawazo makali sana kwa matumizi ya dawa hii ya chlorpromazine usaidia mtu kuwa kawaida,pia dawa hii dozi yake huwa na milligrams kuanzia hamsini mpaka mia tatu na utolewa mdomoni kila baada ya masaa manane na pia dozi hiyo utegemea umri, uzito na mazingira ya mgonjwa.

 

3. Dawa hii utumiwa na wagonjwa wote ila Kuna wagonjwa ambao hawapaswi kutumia dawa hii kama vile wenye aleji na dawa hii na pia wale wenye kifafa Hawapaswi kutumia au waitumie kwa maagizo ya wataalamu wa afya na kwa uangalizi zaidi.

 

4. Pia katika matumizi ya dawa hii Kuna maudhi madogo madogo ambayo yanaweza kutokea kama vile midomo kukauka, kuona maruwe ruwe,midomo kulegea na ulimi pia hali ambayo usababisha mgonjwa wa akili kuongea ambakwo sio kwa kawaida yawni maneno kutosikika baada ya kutumia dawa. Na pia mgonjwa anaweza kuishiwa nguvu akimaliza kutumia dawa kwa hiyo uangalizi wa karibu ni zaidi.

 

5.  Pia dawa hizi hazipaswi kutumiwa kiholela Bali utumika kulingana na wataalamu wa afya ni vizuri kutumia utaratibu Ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kutokea baada ya kutumia dawa visivyo.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/29/Thursday - 01:51:07 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 799


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-